Kama ilvyoripotiwa na TRC kwamba hitilafu ya umeme iliyotokea tarehe 30/07/2024 majira ya saa 4:20 usiku kwenye kituo cha kupoozea umeme namba 7 (Godegode) husababishwa na wanyama (ngedere) au ndege (bundi) wanapogusa nyaya za umeme zilizotandazwa juu ya reli (overhead catenary system). Ni...
Ni usafiri tulivu, salama na wa uhakika sana, muonekano wa mandhari nzuri sana za misitu, milima na mabonde njiani ni burudani tosha, ukiachilia mbali huduma murua ndani ya treni, mazingira bora na ya kisasa sana ndani ya treni yenyewe.
Tanzania imelamba dume kwa kukamilika na kuanza kazi kwa...
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kushereheka furaha ya kuanza kwa safari za treni ya mwendokasi (SGR) Dar es salaam - Morogoro leo June 14,2024, amewalipia tiketi abiria wote kutoka Dar es salaam kwenda Morogoro na wanaotoka Morogoro kuja Dar es salaam kwa safari ya kwanza...
Akisoma bajeti ya serikali bungeni waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema, Rais Samia amekamilisha miradi mingi mbali na changamoto alizozikuta ikiwemo COVID19 na vita vya Ukraine.
Mwigulu ameutaja mradi wa SGR kama mmoja wa mradi uliokamilika ambao amesema hadi sasa nauli zimeshatangazwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.