Akisoma bajeti ya serikali bungeni waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema, Rais Samia amekamilisha miradi mingi mbali na changamoto alizozikuta ikiwemo COVID19 na vita vya Ukraine.
Mwigulu ameutaja mradi wa SGR kama mmoja wa mradi uliokamilika ambao amesema hadi sasa nauli zimeshatangazwa...