Ikiwa nauli ya SGR Treni ya mwendokasi ya Kenya inayotumia diesel mwa umbali wa Nairobi-Mombasa ni Tsh. 400,000 wakati Kwa umbali huo huo wa Dar-Makutopora Kwa SGR ya umeme ya Tanzania ni Tsh. 100,000.
Hata ungekuwa wewe ni Gen Z utaacha kuandamana kweli na kusema Ruto Must go?ππππ
--
Wizara...
Wakuu niende kwenye hoja direct sipendagi mambo mengi.
Wakati huu ambao Wakenya asilimia 73% wa raia wake wanafanya majaribio kuondoa uchafu serikalini sote macho na Media zote ziko Jamhuri yawatu wa Kenya.
Nilikutana na watu kadhaa wakiisifu sana sgr yet. Niseme tu asanteni wasimamizi wa...