Ikiwa nauli ya SGR Treni ya mwendokasi ya Kenya inayotumia diesel mwa umbali wa Nairobi-Mombasa ni Tsh. 400,000 wakati Kwa umbali huo huo wa Dar-Makutopora Kwa SGR ya umeme ya Tanzania ni Tsh. 100,000.
Hata ungekuwa wewe ni Gen Z utaacha kuandamana kweli na kusema Ruto Must go?ππππ
--
Wizara...
Kisa Cha migogoro isiyokwisha nchini Kenya ni wivu wa Maisha mazuri kwa Watanzania.
Miongoni mwasababu za GEN Z kuandamana mpaka kupigwa risasi ni kutaka maisha ya Kenya yafanane na maisha ya Watanzania,
Je, sisi Tanzania tunajua haya?
Sikiliza huyu Mkenya akitoa Siri,
#Mama Samia Mitano tena