Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema mwishoni mwa Januari, 2024 treni ya abiria ya reli ya kisasa (SGR) itaanza kutoa huduma kati ya Dar es Salaam na Morogoro.
Huenda kauli ya Profesa Mbarawa ikawa habari njema kwa Watanzania, baada ya wiki hii kushuhudiwa kichwa cha treni hiyo...