sgr

The SGR-A1 is a type of sentry gun that was jointly developed by Samsung Techwin (now Hanwha Aerospace) and Korea University to assist South Korean troops in the Korean Demilitarized Zone. It is widely considered as the first unit of its kind to have an integrated system that includes surveillance, tracking, firing, and voice recognition. While units of the SGR-A1 have been reportedly deployed, their number is unknown due to the project being "highly classified".

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Kwanini reli ya SGR ya Kenya imekuwa mradi uliosifiwa sana katika ujenzi wa pamoja wa Ukanda Mmoja, Njia Moja?

    Mkutano wa tatu wa kilele wa ushirikiano wa kimataifa wa Ukanda Mmoja, Njia Moja utafanyika Beijing. Ikiwa moja ya nchi 52 za Afrika ambazo zimesaini kumbukumbu ya maelewano ya ushirikiano katika ujenzi wa pamoja wa Ukanda Mmoja, Njia Moja, Kenya imetajwa na watu wengi kuwa mojawapo ya nchi...
  2. A

    DOKEZO Nadai Tsh. Milioni 440 kwa Mkandarasi wa SGR. Naomba Serikali inisaidie, napigwa danadana tangu Desemba 2022

    Mimi sio mtu wa mitandao sana lakini nimeona malalamiko kadhaa yanayoandikwa na Jamii Forums kuhusu mambo mbalimbali yanafanyiwa kazi hasa kuhusu huku kwenye shughuli zetu tunazozifanya kwenye miradi. Mimi ni mmoja wa Wakandarasi wadogo ambao tumekuwa tukifanya kazi na Mkandarasi Mkuu wa Mradi...
  3. Waziri wa Uchukuzi, Prof. Mbarawa: Kasi ya Mkandarasi Mradi wa SGR imepungua, yupo nyuma kwa 10%

    Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa ametembelea Mradi wa Ujenzi wa Reli ya SGR eneo la Makutupora - Tabora na kusema “Kazi inaendelea vizuri ingawa kuna changamoto kadhaa, kubwa ikiwa ni kasi ya mradi ambayo tuliitegemea imepungua, leo tulitegemea Mradi ufikie takribani 22% lakini tupo...
  4. Mkandarasi wa SGR athibitisha kuishiwa Fedha, anahitaji zaidi ya Tsh. Trilioni 4.5

    Kampuni ya ujenzi ya Uturuki ya Yapi Merkezi imeripoti pengo la dola bilioni 1.8 katika ufadhili wa mradi wa reli ya kiwango cha kimataifa nchini Tanzania huku ikiendelea kuwezesha mji wa Dodoma kutafuta ufadhili wa mradi huo kote Ulaya. Makamu Mwenyekiti wa Yapi Merkezi, Erdem Arioglu, ambaye...
  5. Mkandarasi Reli ya SGR asema sababu za Wafanyakazi kutoingiziwa malipo ya NSSF ni kwa kuwa kuna makubaliano maalum

    Siku chache baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika andiko akilalamikia juu ya Mkandarasi Mkuu anayejenga Reli ya SGR, Yapi Merkezi kutowaingizia wafanyakazi wake malipo ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa zaidi ya miezi 9, ufafanuzi umetolewa na Mkandarasi akisema kuna makubaliano...
  6. N

    Mkandarasi wa Uturuki, Yapi Merkezi athibitisha pengo la $1.8bn katika ufadhili wa Tanzania SGR

    Wakati serikali ya Tanzania ikiendelea kuficha ukweli, Kampuni ya ujenzi ya Uturuki ya Yapi Merkezi imeripoti pengo la dola bilioni 1.8 (zaidi ya shilingi trilioni 4.5 za kitanzania) katika ufadhili wa mradi wa reli ya kiwango cha kimataifa nchini Tanzania huku ikiendelea kuwezesha Dodoma...
  7. The SGR lots allotted to Turkish company Yapi Merkezi are on track

    Tanzania seeks more SGR funding from European countries What you need to know: Clarification: Yesterday, we published an article with the title 'Tanzania mulls plan B for SGR project as Turkish firm derailed'. This article, which has since been withdrawn, was incorrect in facts and context. The...
  8. A

    DOKEZO Serikali ikague ubora wa Ujenzi wa Reli ya SGR Lot 3. Tunaandaliwa kupigwa na kitu kizito siku za usoni!

    Nimelazimika kuandika hiki ninachokiandika kwa kuwa nimeona ukimya wangu unaweza kuja "kuli-cost" Taifa baadaye na mimi nikaonekana kama sikukitendea vema kizazi changu. Naweza kusema nimesoma andiko hili nikashawishika nami kuandike kile ambacho kipo kichwani kwangu na ndio ukweli halisi...
  9. TRC yaendelea na zoezi la utwaaji ardhi kupisha ujenzi wa reli ya SGR kipande cha Tabora - Isaka

    Shirika la Reli Tanzania - TRC linaendelea na zoezi la utwaaji ardhi kupisha mradi wa ujenzi wa reli ya kiwango cha kimataifa - SGR kipande cha nne Tabora - Isaka kwenye vijiji takribani tisa vilivyopo wilayani Nzega mkoa wa Tabora hivi karibuni Oktoba, 2023. Mthamini kutoka TRC Bw. Valentine...
  10. Mkandarasi wa anayejenga Reli ya SGR adaiwa kuyumba kifedha, Serikali yatafuta mbadala kukamilisha ujenzi

    Mawaziri wa Fedha kutoka Tanzania na Zanzibar wameanza kuchangisha fedha kwa ajili ya kuendeleza ujenzi wa Mradi wa Reli ya Standard Gauge (SGR) baada ya Mkandarasi Mkuu Kampuni ya #YapiMerkezi ya Uturuki kuonyesha dalili za kuwa na changamoto ya kifedha. Gazeti la The East African limedai...
  11. Hayati Magufuli angekuwepo SGR Dar-Moro na Bwawa la Mwl. Nyerere vingekuwa vinafanya kazi

    Nawaza tu, endapo Magufuli angekuwepo leo; 1. Train ya umeme ingekuwa inapiga kazi usiku na mchana na serikali ingianza kuingiza pesa za kutosha. 2. Bwawa la Mwl. Nyerere lingeanza kuzalisha umeme wa kutosha na leo hii stori za kukatika umeme zisingekuwepo. 3. Kalemani angekuwa Waziri wa...
  12. Naona miradi ya TACTIC imegeuka kuwa ya danadana kama Treni ya SGR? Septemba ndio imekatika hakuna hata katapila moja barabarani

    Serikali ilianza kuhubiri huu wimbo wa miradi ya Tactic Toka mwaka Jana ambapo walisema utekelezwaji wake ungeanza June 2023. Baadae wakaja wakasema inaanza mwezi Septemba 2023 lakini Hadi Sasa hakuna dalili ya kuanza Kwa utekelezwaji wa hii miradi sana sana ni semina,vikao na matamko...
  13. Kwanini Treni ya kasi Dar to Moro hadi leo haijaanza safari zake?

    Treni ya mwendokasi kutoka dar hadi Morogoro imekua ikisemwa itaanza kwa nyakati tofauti tofauti mara kwa mara lakini hadi leo bado haijaanza, nini hasa sababu ya msingi ya kutoanza kwake kazi?
  14. D

    Where is SGR? 2 years delays? infrastructures?

    It’s 2023 , we have not progress kabisa In infrastructures . Leo kutoka Dodoma Dar ni shida. No buses no nothing . Yani natumia 12 hrs kwa bus . Kweli ? When. Will people work . Serikali hii vipi ? Wana fanya nini sasa? Au wengine Huko kuna kitu wanafanya? Maji shida? umeme shida? Usafiri...
  15. B

    Kinachopingwa na TEC na Watanzania walio wengi siyo Uarabu wala Uislamu; ushahidi ni miradi ya SGR na JNHPP

    Habari wana Jamii Forums, Pasipo kupoteza muda, naomba niende kwenye mada tajwa hapo juu. Kumekuwa na mjadala mkubwa sana kuhusiana na baadhi ya watu walioishiwa hoja za kuunga mkono mkataba tata wa DPW. Hivyo baadhi wamejikuta wakitumia hoja ya udini na uarabu. Wanaopinga mkataba...
  16. Mgomo wa Waturuki wanaojenga Reli ya SGR wamalizika, Mkandarasi (YAPI MERKEZ) aomba radhi kwa umma

    TAARIFA KWA UMMA UTEKELEZAJI WA MALIPO YA MISHAHARA KWA WAFANYAKAZI WA KITURUKI WA MKANDARASI WA SGR, YAPI MERKEZI Dar es Salaam, Tarehe 21 Agosti 2023 Kampuni ya YAPI MERKEZI inayofanya ujenzi wa reli yenye kiwango cha kimataifa (SGR) kati ya Dar es salaam Isaka inaitaarifu umma kuwa...
  17. A

    DOKEZO (Video) Raia wa Uturuki wanaojenga Reli ya SGR waendeleza mgomo, wakidai mishahara, waomba msaada kwa Rais Samia

    Baadhi ya Wafanyakazi hao katika Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR), leo Agosti 17, 2023 wameendeleza mgomo wao wakishinikiza malipo yao kutoka kwa Mkandarasi Kampuni ya Yapi Merkezi. Sehemu ya hotuba yao inaeleza “Sisi ni Wafanyakazi tuliopo katika Mrati Awamu ya Pili (Lot 2), Kambi ya...
  18. Mkandarasi Yapı Merkezi anayejenga Reli ya SGR atoa ufafanuzi taarifa za kushindwa kuwalipa wafanyakazi wake raia wa Uturuki

    TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI WA TAARIFA ZINAZOSAMBAA ZIKIHUSISHWA NA SERIKALI YA TANZANIA KUSHINDWA KUMLIPA MKANDARASI YAPI MERKEZI NA KUPELEKEA KUSHINDWA KULIPA MISHAHARA WAFANYAKAZI WA KITURUKI Dar es Salaam, Tarehe 15 Agosti 2023 Kampuni ya YAPI MERKEZI inayofanya ujenzi wa reli ya yenye...
  19. A

    DOKEZO Waturuki wanaojenga Reli ya SGR wapo katika mgomo, inadaiwa hawajalipwa fedha zao

    Wakati Watanzania, Wana-Afrika Mashariki na Afrika nzima wakiendelea kutazama kuhusu ujenzi wa Reli ya Kisasa ya Standard Gauge Railway maarufu kwa jina la SGR kutoka Dar es salaam hadi Mwanza ukiendelea ukiwa na jumla ya kilometa 1,219, kuna mambo kadhaa hayaendi sawa huku nyuma ya pazia. Ipo...
  20. Wafanyakazi wa kampuni ya Yapi Merkezi kwenye ujenzi wa SGR wagoma kufanya kazi kutokana na Madai ya kutokulipwa kwa miezi 7

    Takriban wafanyakazi 2,000 wa Uturuki walioajiriwa na kampuni ya ujenzi ya Uturuki ya Yapı Merkezi katika mradi wa reli nchini Tanzania wamegoma tangu Agosti 5, wakidai kulipwa mishahara yao ambayo hawajalipwa kwa muda wa miezi saba iliyopita. Katika siku ya saba ya mgomo wao (Agosti 11)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…