sgr

The SGR-A1 is a type of sentry gun that was jointly developed by Samsung Techwin (now Hanwha Aerospace) and Korea University to assist South Korean troops in the Korean Demilitarized Zone. It is widely considered as the first unit of its kind to have an integrated system that includes surveillance, tracking, firing, and voice recognition. While units of the SGR-A1 have been reportedly deployed, their number is unknown due to the project being "highly classified".

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Reli ya SGR ya Kenya yaongeza kasi ya usafirishaji wa mizigo mingi na kuchochea ukuaji

    Huduma ya Mizigo ya Reli ya SGR kati ya Mombasa na Nairobi imetoa urahisi wa usafirishaji wa mizigo mingi inayokwenda katika nchi zisizo na bahari tangu kuzinduliwa kwake Januari 2018. Edward Opiyo, Meneja kituo katika Vituo vya reli ya Mizigo mjini Nairobi ambayo ni kampuni binafsi...
  2. JamiiForums Tanzania Haileti maana kupunguza bajeti ya barabara kwa kuongeza bajeti ya kujenga SGR na kununua ndege

    Moja kwa moja kwenye mada. Na declare interest mapema,mimi Niko kwenye industry ya construction hususani civil works, na naishukiru Serikali walau kwa kuongeza bajeti ya Tarura kutoka Bil.272 kwa miaka 5 iliyopita hadi bil.802 mwaka huu 2022/23. Pamoja na hayo Nimepitia bajeti za Ujenzi wa...
  3. JamiiForums Tanzania Fursa Congo: Sasa tuboreshe Tazara kuwa SGR, njia nne Mbeya -Songwe na tujenge Barabara na reli ya Kisasa hadi bandari ya Kalemi, Katavi

    Baada ya DRC kuingia rasmi EAC , mataifa makubwa katika Jumuiya hii Uganda Kenya na Tanzania,yanaendelea kupambana kukamata fursa ili kushika soko la nchi hii yenye watu zaidi ya Milioni 100 Wakati Uganda akijenga Barabara kuingia majimbo ya kaskazini mwa Congo, Kenya anafungua Ofisi Mombasa...
  4. JamiiForums Tanzania Angalia picha: Mabehewa ya treni za SGR yanatengenezwa, barabara zinajengwa, meli, madaraja, na mishahara inaongezwa

    Balozi akikagua Mabehewa ya SGR, miradi inaendelea, na watumishi wanaangaliwa maslahi. Awamu Ile ilikwama wapi!? Au korosho ziliwajaa rohoni? Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
  5. JamiiForums Tanzania Mradi Wa SGR Ya Tanzania Ni Mradi Mkubwa Kuwahi Kufanyika Barani Afrika

    Mradi wa SGR ya Tanzania wenye Kilomita zaidi ya elfu 2,000, ni Kati ya miradi mikubwa ya reli kuwaikufanyika Afrika. Katika utafiti wangu, miradi mengine mikubwa inayoendelea barani Afrika ni ule wa Nigeria, ambao una lengo la kuunganisha miji mikubwa na bandari ya Lagos. Pamoja na wa Misri...
  6. JamiiForums Tanzania Majaribio ya Mifumo ya Umeme Katika Reli ya Kisasa (SGR) Dar es Salaam - Morogoro MOROGORO

  7. L

    JamiiForums Tanzania Mapato kutokana na huduma za uchukuzi SGR Kenya yaongezeka

    Na Tom Wanjala Ripoti kuhusu ufanisi wa mradi wa reli mpya ya kisasa ya SGR nchini Kenya kwa mwaka uliopita, imetolewa rasmi na ofisi ya takwimu ya kitaifa ya Kenya (KNBS). Kwa mujibu wa ripoti hiyo, wasafiri milioni 1.99 walitumia reli hii mpya mwaka wa 2021, na kuleta mapato ya shilingi...
  8. S

    JamiiForums Tanzania CCM kumsifia Dkt. Slaa leo hii ni unafiki wa kiwango cha SGR

    Nashangazwa sana na sifa za kinafiki CCM wanazoompa Dr. Slaa leo hii wakati ni CCM hawa hawa walimuita muongo na mzushi wakati alipokuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA. Isitoshe, ni CCM hawa hawa kupitia serikali ya Kikwete, walimpiga Dr. Slaa virungu wakati wa maandamano ya CHADEMA mkoani Arusha na...
  9. JamiiForums Tanzania Hadi leo najiuliza, ilikuwaje tukajenga SGR kwenda Burundi na kuacha kuboresha TAZARA kuwa SGR ambapo tungefika Congo kirahisi sana

    Siku Saba zilizopita shirika la habari la Ujerumani DW wametoa makala nzuri sana kuelezea upekee wa Reli ya Tazara inayotoka Tanzania hadi Ndola nchini Zambia. Wameelezea upekee wa reli hii na namna inavyopita kwenye mbuga maarufu za Selous na Mikumi na inavyopita mwenye milima ya Iringa hadi...
  10. JamiiForums Tanzania Wananchi walalamika kunyimwa ajira mradi wa SGR Mwanza-Isaka

    Kundi la Wananchi katika eneo la Fela wilayani Misungwi mkoani Mwanza unapojengwa mradi wa Reli ya Kisasa (SGR), kati ya Mwanza hadi Isaka mkoani Shinyanga, limesimamisha msafara wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu huku wakitoa kilio cha kunyimwa ajira katika mradi huo. Wananchi hao...
  11. JamiiForums Tanzania Faida za mradi wa SGR ukikamilika

    FAIDA ZA MRADI WA SGR UKIKAMILIKA 1. Kuongeza soko la ndani na kuimarisha Shilingi ya Tanzania (economy localization) hii ni kutokana treni kutumia umeme utakaozalishwa nchini, kama tungetumia mafuta diesel ambayo ni lazima kuagiza ingeongeza gharama kubwa kwa uendeshaji na matumizi ya akiba ya...
  12. JamiiForums Tanzania Kishindo kingine cha Rais Samia katika SGR; TRC yaingia mkataba na kampuni ya China ununuzi wa behewa 1,430

    Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
  13. JamiiForums Tanzania Serikali kulamba mkopo mwingine kutoka Benki ya Biashara ili kufanikisha ujenzi wa SGR

    CITI BANK imeahidi kuisaidia Tanzania kupata mikopo yenye masharti nafuu kutoka katika Benki hiyo pamoja na washirika wake kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya kimkakati ukiwemo mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) pamoja na kuahidi kuwa balozi wa kutafuta wawekezaji wataowekeza mitaji na...
  14. L

    JamiiForums Tanzania KTDA inashirikiana na Kenya Railways kusafirisha chai kwa SGR

    Na Tom Wanjala Viwanda vinavyosimamiwa na Wakala wa Maendeleo ya Chai Kenya (KTDA) sasa vitaweza kusafirisha mazao yao kupitia njia ya Reli ya Standard Gauge (SGR) kutoka Nairobi hadi Bandari ya Mombasa kwa ajili ya kusafirishwa nje ya nchi. Chini ya mpango huo, chai kutoka viwanda...
  15. JamiiForums Tanzania Majaribio ya treni ya treni ya umeme Dar-Moro kuanza Aprili 2022

    [emoji397] [emoji577][emoji588][emoji588][emoji588][emoji588][emoji588][emoji588][emoji588][emoji588][emoji588]
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania China yaanza kujadali mikakati ya reli ya SGR kuunga hadi Rwanda, DRC, Uganda na Sudan Kusini

    Mataifa yote hayo kuunga kwenye reli moja kutokea Mombasa, mazungumzo yameanza na mikakati kupangwa...... Nairobi. China is proposing a grand infrastructure plan for the Horn of Africa that would involve expanding the two major railroads and developing ports on the Red Sea and the Indian Ocean...
  17. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Reli ya SGR uishie Tabora

    Hela hatuna, tusikope sana ili kupunguza kutumia na madeni. Tabora ni karibu sana na Burundi, Rwanda, DRC, Mwanza na Uganda. Tujenge bandari kavu kuubwa pale Tabora ili watu wa Mwanza, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC na Kigoma wachukulie Tabora mizigo yao itakayoletwa na SGR hapo. Tukipata faida...
  18. JamiiForums Tanzania Bila Magufuli SGR isingekuwepo

    Jana Mh Alisema sababu ya kuendelea na mradi wa SGR ni " tumetumia hela nyingi tayari, tukiuacha sasa hivi tutakua tumetupa hela". Kwa maana hiyo mradi ule hauna sababu ya kiuchumi kuwepo, unamaliza hela tu. Kama Mh mama angelikua rais tokea mwanzo mambo ambayo angefanya ni kupandisha vyeo...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna mambo hayakuwa yakifanyika, lakini sasa hivi yanataka kuanza. Sitokubali!

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema katika miezi michache aliyokaa kwenye Serikali ya Awamu ya Sita, ameona mambo mengi ambayo huko nyuma hayakuwa yakifanyika lakini sasa hivi yanataka kuanza, akisisitiza hatokubali Amesema hayo baada ya kushuhudia utiaji saini Mkataba wa Mradi wa Ujenzi wa Reli...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Samia kwa miezi 9 tangu aingie Madarakani

    MAFANIKIO YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN TOKA AINGIE NADARAKANI Mh.Rais Samia Suluhu Hassan: Ameendelea kujenga Nchi kwa kuendeleza Miradi mikubwa ya Taifa kama ilivyoainishwa kwenye ILani ya CCM ya Mwaka 2020-2025, Mradi wa Julius Nyerere Hydropoer Poject-JNHPP wa Megawatt 2115 umeendelea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…