sgr

The SGR-A1 is a type of sentry gun that was jointly developed by Samsung Techwin (now Hanwha Aerospace) and Korea University to assist South Korean troops in the Korean Demilitarized Zone. It is widely considered as the first unit of its kind to have an integrated system that includes surveillance, tracking, firing, and voice recognition. While units of the SGR-A1 have been reportedly deployed, their number is unknown due to the project being "highly classified".

View More On Wikipedia.org
  1. Maoni: Tatizo la Kujifanya Usalama wa Taifa na Kuongeza Lawlessness

    Tanzania imechukua hatua kubwa katika kuboresha miundombinu yake kwa kukamilisha ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR). Huu ni wakati muafaka wa kuimarisha mifumo ya usafirishaji na kuhifadhi mizigo kwa kujenga Bandari Kavu (Dry Ports) katika mikoa ya Morogoro na Dodoma. Faida za Bandari Kavu...
  2. Ikikupendeza Rais Samia, tunaomba SGR Dar es Salaam - Arusha

    Miji ya Tanga, Kilimanjaro na Arusha ni kanda muhimu sana kiuchumi na kwa pamoja inachangia kiasi kikubwa cha pato la taifa kutokana na kilimo, biashara hasa ya madini, na utalii. Ukizingatia Mlima Kilimanjaro, Oldonyo Lengai, Mlima Meru, Mbuga ya Wanyama Pori ya Saadani, Mbuga ya Wanyama Pori...
  3. SGR ianze biashara ya mizigo

    Baada ya kupokea mabehewa ya mizigo, ni suala la muhimu sana ma container ya mizigo yanayokwenda ushoroba wa Kati yaanze kusafirishwa Hadi Dodoma kwa SGR na mamlaka iandae bandari kavu Dodoma ili maloli yote yaendayo Rwanda na Burundi yaanze kuchukulia Dodoma badara ya Dar. Hii itasaidia...
  4. Mabehewa 264 ya SGR ya kubeba Mizigo yawasili nchini

    Shirika la Reli Tanzania - TRC linautaarifu umma kuwa mabehewa 264 ya mizigo yatakayotumika katika reli ya kiwango cha kimataifa - SGR yamewasili Bandari ya Dar es Salaam kutoka nchini China Disemba 24, 2024. Zoezi la ushushaji kutoka kwenye Meli litakapokamilika litafuatia zoezi la majaribio...
  5. S

    Jinsi ya Kuhimili mabadiliko ya hali ya hewa ya biashara (Mabasi dhidi ya SGR)

    Habari wanajamvi, Natumaini Krismasi inaenda vizuri. kwa mliowahi kanisani, hongereni. Kwa wengine ambao wanatumia fursa hii kupumzika, nawatakia mapumziko mema (binafsi likizo ya wiki moja itaanza jioni ya leo. Krismasi kwangu ni fursa ya kuwasaidia wahitaji). Leo nlikuwa mtandaoni, nikaona...
  6. KWA SGR HII DAR MORO DOM MH MAMA SAMIA MI 5 TENA KURA YANGU UNAYO MAMA

    NIlikuwa nasikia tu na kuona kwenye TV aisee MH mama SAMIA kwa treni hii niliyopanda dar n Moro baadae Moro Dom MH mama una mi 5 Tena inakusubiria MUNGU akupe uhai na upendo WA kuendelea kuwatumiikia wananchiiiiba KUIPENDA nchi yetu Wacha wale wahuni waumizane kugombea uenyekiti Sisi...
  7. Mama yangu Raisi Samia Suluhu Hassan, waziri wa ulinzi pamoja na waziri wa miundombinu. Tumieni DK 5 tu kusoma hili juu ya SGR

    Amani ya Bwana iwe nanyi. Roho yangu binafsi inaniuma sana kuona kuna baadhi ya watu wanahujumu huu mradi wa SGR, tena wengine ni mafundi au wanahusika kwa namna moja ama nyingine. Opinion yangu; Mh Raisi na waziri wa ulinzi tengeneza taskforce kali sana, zitungiwe sheria ndogo maalumu kwa...
  8. Gerson Msigwa, haiwezekani kila mmoja akawa Mlinzi wa SGR, Serikali iwajibike

    Moja ya best investment ya JPM na atakumbukwa kwa hili ni SGR. God bless you John, Rais Mtendaji. Tupo kwenye Science na Technology ,digital transformation, artificial intelligence, machine learning, satellite, Blockchain, internet of things, automotous drones, robotics and automations...
  9. Kenyan, Chinese among 15 arrested over Tanzania SGR vandalism

    At least 15 people have been arrested for allegedly vandalising standard gauge railway (SGR) and electricity infrastructure. Among those arrested are a Chinese national and a Kenyan, according to Railway Police Unit commander Gallus Hyera. Thirteen suspects have already appeared in court. The...
  10. KERO: TAMISEMI ondoeni shida ya usafiri kutoka vituo vya SGR

    TAMISEMI ondoeni shida ya usafiri kutoka vituo vya SGR. Malalamiko ya shida ya usafiri kutoka vituo vya SGR sio mageni. Ni kama viongozi wa mikoa hii ya morogoro na wenzao wa Dodoma wamechagua kuweka pamba masikioni. Jamani viongozi mnaohusika amkeni kufanya jambo kukomesha shida hii ya...
  11. Watu wanne mbaroni wakidaiwa kuhujumu miuondombinu ya Tanesco na SGR

    Watu wanne wamekamatwa na Jeshi la Polisi kwa vipindi tofauti wakidaiwa kuhujumu miundombinu ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) na Shirika la Reli Tanzania (TRC). Mara kadhaa TRC imekuwa ikieleza kuwapo kwa baadhi ya watu wanaokula njama za kuharibu miundombinu ili kuzorotesha usafiri wa...
  12. B

    Tanzania kununua injini za disel kuendesha SGR

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeanzisha mpango wa kununua injini za dizeli ili kuhakikisha huduma ya usafiri wa reli ya kisasa (SGR) bila kikwazo endapo umeme utakatika. Mkurugenzi Mkuu wa TRC, Masanja Kadogosa, amethibitisha hilo na kuelezea kuwa tayari kampuni moja imebainishwa kuzalisha...
  13. Gharama za Maisha Dodoma: Mabadiliko ya Haraka Yanavyowatesa Wakazi Baada ya Serikali Kuhamia, na Ujio wa Sgr

    Gharama za maisha katika Jiji la Dodoma zimekuwa changamoto kubwa kwa wakazi wa jiji hili, hasa baada ya kutangazwa kwa uhamisho wa serikali kuu kwenda hapa. Hali hii imepelekea mabadiliko makubwa katika uchumi wa jiji, ambapo wenyeji wa zamani wa Dodoma walijikuta wakifurahia faida za muda...
  14. K

    Kwa Nini Treni ya SGR Haifanyi Kazi Masaa 24?

    Kipindi cha nyuma, mabasi yalikuwa yanazuiwa kufanya safari usiku. Sababu za alinacha zilitolewa na baadae kupinduliwa bila juhudi zozote za kuondoa sababu hizo za alinacha tulizokuwa tunaaminishwa. Hivi Sasa mabasi yanasafiri 24 hours na safari za usiku ndio zenye mwitikio mkubwa wa wateja...
  15. SGR: Vifaa Vya Kazi( Mafundi Umeme+ Mgari)

    Katika usafiri wa Sgr, umelenga watu wanafanya kazi maofisini tu. Kwa mfano mtu kama fundi Umeme au Fundi makenika Hawa watu wanavifaa vya chuma au Mafundi Bomba. Ukifika katika ukaguzi wanazuia Vifaa. swali Je wanaopanda Sgr ni watu wa Ofisini peke, pia katika mabehewa Kuna Abiria na...
  16. SGR inahujumiwa au ni uzembe tu unaotokana na watu kutochukuliwa hatua?

    Wanabodi (kwa sauti ya paskali), Leo tarehe 4 nimefanya uzinduzi wa kupanda treni yetu pendwa ya SGR. Kwa bahati mbaya leo asubuhi kulikua na shida kwenye gridi ya taifa hivyo kujikuta treni karibu zote kuchelewa kwa angalau saa moja, na vyombo vyote vya habari vilitangaza. Baadae umeme...
  17. KERO Tumekwama ndani ya Treni ya SGR hapa Ngerengere kwa saa tatu sasa, tunaambiwa kuna suala la kiufundi

    Baada ya Treni ya SGR kukwama awali asubuhi ya leo, Desemba 4, 2024, mimi ni mmoja kati ya abiria ambao walikuwemo kwenye treni hiyo, nikaona JamiiForums imeripoti kuhusu tukio hilo. Mpaka muda huu naandika hapa saa Tatu usiku huu ni kwamba tumekwama kwenye kituo cha Ngerengere tukiwa tunatokea...
  18. Tujikumbushe Kauli ya Kadogosa Kuhusu SGR yake na umeme

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Masanja Kadogosa, amesema wananchi waondoe hofu kuhusu tatizo la kukatika kwa umeme katika safari za treni inayotumia umeme akisema treni hiyo ina mkondo wa umeme unaojitegemea. Hayo yamesemwa leo Februari 26, 2024 na Mkurugenzi huyo alipokuwa...
  19. Kwanini mfumo wa ukataji tiketi za SGR unasumbua mara kwa mara, who is behind this?

    Moja kwa moja kwenye mada, Tangu tuanze kusafiri kwa treni za SGR kumekuwepo na changamoto za hapa na pale. Changamoto huwa zipo lakini tunatarajia kuwe na ufumbuzi na kutokujirudia rudia kwa changamoto ya namna ile ile. Kwenye mfumo wa ukataji tiketi kumekuwa na changamoto ya kudumu, mfumo...
  20. H

    KERO SGR mbona mko hivi? Tiketi mtandaoni hazinunuliki

    SGR, mbona mnajihujumu wenyewe halafu mnalalamika kwamba watu wanahujumu na wanapaswa kukamatwa na kufungwa adhabu kali? Mimi nadhani kwanza mnapaswa kuwachunguza na kuwachukulia hatua wafanyakazi wenu humo ndani kwani wao ndio wanaweza kuwa wanahujumu. Online, mtu hawezi kununua tiketi kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…