Kuna mheshimiwa mmoja alipendekeza sh.50 ikatwe kwenye muda wa maongezi kwa kila line ili kuchangia ujenzi wa barabara.
Unaweza kufikiri ni akili yake amependekeza, lakini kusema kweli zile tozo zilizosababisha watumiaji wa mitandao ya simu kutuma pesa kupungua, zinakuja tena kwa dirisha la...