Binafsi nilifuatilia mpambano huu na mpambano ulikuwa ni mzuri na waamuzi wa mpambano huu walikuwa wakweli na hawakumuonea bondia yeyote. Katika pambano hili ni dhahiri kabisa Shabani Kaoneka alishindwa na hata zile pointi zilizokaribiana na mpinzani wake ni pointi za upendeleo. Kaoneka...
Naandika haya baada ya kuibukia huko Arusha kwa kiongozi mmoja wa dini mwenye utata mwingi akitafuta kuombewa kwakuwa anajihisi ana mikosi, mambo yake hayaendi na pengine kuna watu wamemsagia kunguni kiroho kiroho na kimwili.
Kwenda kutafuta tiba (ya kiroho) kwa kiongozi wa kidini sio tatizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.