Basi la Kampuni ya Shabiby inayofanya safari Sumbawanga-Dodoma ilipata ajali eneo la mizani ya Nkangamo Tunduma.
Kwa inavyoonekana na ni kama lilianguka lenyewe.
Nitaupxate kadri taarifa zitakavyopatikana Wakuu.
Mtoto wa miaka 4 avunja kioo cha Shabiby kwa manati
Basi la Shabiby Line lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Dodoma lilichelewa kwa takriban saa moja na nusu Agosti 14, 2024, baada ya mtoto wa miaka minne wa Kijiji cha Ndolela, Iringa, kuvunja dirisha la basi kwa manati kutokea upande wa pili wa...
Kila siku kampuni hii, inazalisha vifo na walemavu. Nitashangaa kama LATRA. haitawatendea haki Watanganyika.
Suala la usalama na usimamizi wa kampuni hii ya mabasi limekuwa ni tatizo kubwa kwa muda mrefu. Ni zuri kwamba serikali imekuwa ikiangalia hali hii, lakini inaonekana kwamba bado hakuna...
Siku hizi umekewa ukiwasema sana wanasiasa wenzio na wakati mwingine hata Serikali. Hoteli Esperenza ya ndugu yako imekuwa kiini cha kupika majungu na wewe mwenyewe ukishiriki.
Siku hizi umekuwa wazi sana kuonesha namna ulivyojaa rohombaya na tamaa za utajiri ambao sio halali kivileeeee! Siku...
Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby amesema “Ubaya wenu nyie mawaziri mkishapewa Uwaziri mnajiona mnaweza kuwa Rais, naacha kazi za Uwaziri mnaanza mipango ya kuwa mtakuwaje Rais, mnasahau aliyekuteua amefanya hivyo ili ufanye kazi zake akupende, umtumikie yeye.”
Amesema hayo katika mkutano na...
Akichangia mjadala wa bajeti kuu ya serikali mbunge wa gairo mheshimiwa shabiby amesema kumeibuka wimbi la wasifiaji wa kila kitu na kusema kweli zile sifa hazitoki moyoni bali wanasifia kwa maslahi yao binafsi.
Tumekuwa na wapiga dili karibu kila mahali na mara nyingi utawasikia mama anaupiga...
Mbunge wa jimbo la Gairo mh Shabiby, wakati akichangia hotuba ya bajeti kuu amemshukia kama mwewe waziri wa fedha Mwigulu Nchemba kuwa tabia yake ya kutaka kuwa mzuri kwa kila mtu na kila taasisi imesababisha awe na mipango mingi isiyo na tija kwa taifa ikiwemo hela kutopelekwa kwa wakati kwenye...
Mbunge wa Jimbo la Gairo Ahmed Shabiby akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Utamaduni,Sanaa na Michezo kwa mwaka wa fedha 2024/25 Bungeni Jijini Dodoma leo May 23,2024 ameiomba Wizara hiyo kupitia Bodi ya Filamu Tanzania kuziangalia upya Filamu zenye maudhui ya ushirikina...
Wakuu mimi sina mambo mengi sana hapa najaribu kufikiria, hivi Mh. Shabiby aliwaza kweli kuwa kuna watu ambao wao wanakatwa bima moja kwa moja kwenye mishahara yao?
Hawa wataondolewaje kwenye huo mfumo aliopendekeza sababu na wao ni wamiliki wa simu watakaokatwa bima mara mbili.
Labda...
Shabiby ni moja ya wabunge mabepari ambao wamekwama kabisa kufikiri. Yeye ndiye anayeongoza kushawishi nauli zipande , ndiye aliyesababisha hasara kwenye ujenzi wa reli kwa kulipwa mabilioni kubeba wafanyakazi na hakulipa kiasi chochote cha kodi wala kuwalipa wafanyakazi vibarua malipo ya mifuko...
Mbunge wa Gairo (CCM), Ahmed Shabiby ameishauri Serikali kukata Sh2,000 kila mwezi kwenye laini za simu huku wabunge, wafanyabiashara na wafanyakazi wakikatwa Sh10,000 ili fedha hizo ziwe chanzo cha mapato kwa Bima ya Afya kwa wote.
Amesema kuna wamiliki wa laini za simu milioni 72 nchini ambao...
Kwa habari zilizotufikia ni kuwa gari ya usafirishaji abiria ya kampuni ya Shabiby Line, imegonga lori la kontena kwa nyuma na kusababisha kifo cha mtu mmoja.
Ahmed Shabiby ameitaka Serikali kutafuta dola bila kujali watu watasema nini, Shabibi amesema ingekuwa ni yeye angekopa dola bilioni moja kukabiliana na uhaba wa dola nchini na kuziingiza kwenye mzunguko. Shabiby amesema dola bilioni moja ni kitu kidogo sana kwa Serikali kwani inakusanya...
Mbunge wa Gairo amesema Viongozi wa Serikal Wana mtindo wa kuajiri walimu na kuwapangia vijijini kisha wanatuma vimemo wahamishiwe Mjini
Shabiby amesema Utaratibu Huu siyo mzuri na ikibidi watatoa Azimio Waziri na Watendaji wake waindolewe na kama Spika ataleta Siasa zake naye Atakaa pembeni...
Sisi abiria tunaosafiri na Basi la Kampuni ya Shabiby kati ya Dodoma na Dar es Salaam tunayo malalamiko yetu makubwa kutokana na huduma mbovu mjini Morogoro ambapo basi la Shabiby husimama kwa ajili ya huduma ya chakula na kuchimba dawa.
Mazingira ya hoteli hiyo ni machafu sana na hayaendani na...
Nimekuwa mfuatiliaji wa michango ya huyu mheshimiwa shabiby kule bungeni, nimefurahishwa na namna anavyotetea rasilimali za taifa dhidi ya uhuni uliopachikwa jina la kufungua milango.
Mwanzoni nilijua huyu jamaa ni mchuuzi na mpiga deal wa mjini, aisee kumbe sikujua kuwa ni mtu makini na...
Mbunge aliyejawa na hoja zenye mashiko kwa taifa letu Mh Shabiby amehoji utaratibu unaotumiwa na serikali ya awamu ya 6 kufungua nchi kwani unaelekea kuigeuza Tanzania kuwa shamba la bibi kwa kila mgeni kufanya anavyotaka.
Bwana Shabiby amesema sasa hivi wageni hasa wachina wameruhusiwa kuingia...
Wakuu bila kupoteza muda.
Kama mnavyojua, gharama za ndege, miaka michache hapo nyuma zilipanda kwa speed ya mwendokasi. Basi kama ujuavyo sisi wazee wa uchumi wa kuunga unga tunakuwa hatuna option nyingine zaidi ya kupanda ma-bus.
Nipo hapa nafanya plan yangu ya safari zangu za Dar - Mbeya...
Mhe. Ahmed Mabukhut Shabiby, Mbunge wa Gairo, juzi bungeni uliongea kwa uchungu saana wakati unachangia, lengo la mchango wako ilikuwa ni kuvunjwa kwa utaratibu wa kuagizwa kwa mafuta kwa pamoja (bulk procurement) na kisha kila mfanyabiashara mwenye uwezo wa kupata mafuta kwa bei anayoweza aende...
Wakuu Kwema?
Mimi kwa kiasi fulani ni mdau wa mafuta, kwani hapo kabla miaka ya nyuma nilishawahi kufanya kazi katika kampuni ya mafuta Kwa kama miaka kadhaa Hivi
Hivi karibuni Mbunge wa Gairo Bw. Ahmed Abdallah Shabiby amependekeza kua ili Bei ya mafuta iweze kushuka basi Serikali iruhusu...