Wakati wajumbe wakianza kuingia mjini Gairo kwa ajili ya kupiga kura ya maoni kwa waliojaza na kurudisha fomu, mbunge aliyemaliza muda wake Mhe. Shabiby anakabiliwa na wagombea wengine zaidi ya 20. Juzi baada ya kikao cha wagombea wake, amesambaza pesa kupitia kwa wagombea udiwani waliomaliza...