Wakuu,
Nadhani wengi tumekutana na tulio lililotrend jana, video ya inayomuonesha 'Bonge' akipambana na watu waliokuja kumteka na kufanikiwa kuwazidi nguvu, wakimuachia zawadi ya pingu. Kama mpaka sasa hujakutana na tukio hilo basi pitia hapa.
Kutokana na taarifa ya polisi, Bonge ni...
Wakuu,
Ni zaidi ya miezi miwili sasa toka Chaula achukuliwe na watu wasiyojulikana, ambapo baba mzazi ameiomba serikali kama inamshikilia mtoto wake basi watoe taarifa wanamshikilia kwa kosa gani na yuko gereza gani ili wawe na amani kuwa mtotobwao ni mzima na wafanye taratibu nyingine za...
Mzee Yusuph Sisala Chaula akiwa na mwanaye Shadrack Chaula
Kufuatia taarifa za kupotea katika mazingira yanayodaiwa ‘kutekwa’ kwa Shadrack Chaula ambaye ni Msanii wa Sanaa ya Uchoraji, baba mzazi wa kijana huyo, mzee Yusuph Sisala Chaula amesema amepigiwa simu akitakiwa kutoa Shilingi Milioni 3...
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana Agosti 8,2024, Kamanda Kugaza amekiri kuwepo kwa tukio la kutoweka kwa kijana Shadrack huku akiomba wananchi kutoa ushiriano.
Jeshi la Polisi limesema kuwa lilipokea taarifa na kwa sasa wako katika uchunguzi kujua watu waliomchukua na...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeanza uchunguzi wa kubaini watu wasiojulikana wanaodaiwa kumteka Shadrack Chaula (24), mkazi wa Kijiji cha Ntokela wilayani Rungwe.
Chaula anadaiwa kutekwa na watu hao ikiwa ni takribani siku 20 zimepita tangu alipotoka Gereza la Ruanda Mkoa lililoko mkoani...
aliyechoma picha ya rais
jeshi la polisi
kuelekea 2025
kutekwa
picha ya rais
polisi
rais samia
shadrackchaulashadrackchaula atekwa
siasa tanzania
uchunguzi kutekwa chadrack
Ni siku ya furaha na huzuni pia
1. Ni siku ya huzuni kwakuwa bado Kombo Mbwana anasota rumande licha ya kutimiza vigezo vyote vya dhamana.. Simulizi yake inajulikana wazi hakuna haja ya kuirudia hapa
2. Ni siku ya huzuni kwakuwa Shadrack kijana aliyechoma picha ya mkuu wa kaya kisha kukamatwa...
Habari Mwanajukwaa.
Nimewaza sana tena sana nikagundua hili tukio linaonesha tu kwa namna gani watu hawakubaliani na baadhi ya Mambo na kwa namna yanavyotokea tu yanatoa ujumbe kabisa kwa Rais Samia na CCM yake.
Tukio la Mnyakyusa kuchoma Picha ya Rais lilikua sio zuri in real sense kabisa na...
Hatimaye kijana Shadrack Yusuph Chaula (24) mkazi wa kijiji cha Ntokela kata ya Ndanto Tukuyu wilayani Rungwe, ameachiwa huru kutoka mikononi mwa jeshi la magereza baada ya kufanikiwa kulipa faini ya shilingi million tano kutokana na hatia aliyokutwa nayo ya udanganyifu juma lililopita.
Kijana...
aliyechoma picha ya rais mbeya
freedom of expression
freedom of speech
picha rais samia
picha ya rais
rais samia
shadrackchaulashadrackchaula huru
social justice 2024
uhuru wa maoni
Wakuu kwema,
Huu mtindo mpya wa CHADEMA kuchangia hela watu wenye kesi mbalimbali unaenda kuota mizizi
Huyu kijana kwa mfano aliyechoma picha ya Raisi, , awali huyu dogo me nilikuwa nifatilia video zake za tictock akimtukana Rais na kuchoma picha zake, hio sio shida.
Kilichonipa attention...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.