Wizara ya Elimu nchini Uganda imewasilisha Muswada wa Taifa wa Walimu wa 2024 Bungeni, ambapo Waziri wa Nchi wa Elimu ya Juu, John Chrysostom Muyingo, ameeleza kuwa muswada huo unalenga kuboresha viwango vya ufundishaji nchini humo.
Kulingana na Wizara ya Elimu na Michezo, sheria hiyo...