Bodi ya Chuo Kikuu cha Howard, kihistoria kinachotambuliwa kuwa chuo kikuu cha watu weusi huko Washington DC, imeazimia kumvua Sean "Diddy" Combs shahada yake ya heshima.
Tangazo hilo linakuja baada ya CNN kuchapisha video ya CCTV ya mtayarishaji huyo wa muziki wa hip-hop akimpiga mpenzi wake...