shahada

The Shahada (Arabic: ٱلشَّهَادَةُ‎ aš-šahādah [aʃ.ʃa.haː.dah] (listen), "the testimony"), also spelled Shahadah, is an Islamic creed, one of the Five Pillars of Islam and part of the Adhan. It reads: "I bear witness that there is no deity but God, and I bear witness that Muhammad is the messenger of God."
The Shahada declares belief in the oneness (tawhid) of God (Allah) and the acceptance of Muhammad as God's messenger. In Shia Islam, a statement of belief in the wilayat of Ali is added. A single honest recitation of the Shahada in Arabic is all that is required for a person to become a Muslim according to most traditional schools.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Msaada wa aina tano za shahada ambazo hata nikikosa serikalini naweza kujiendesha

    Wanajamvi nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama kichwa cha somo hapo juu kinavyoeleza naomba mnisaidie angalau aina tano tofauti za shahada ambazo nikizisoma hata nisipopata serikalini kazi bado nitakuwa na uhakika wa kupata mlo wa kila siku nimesoma HGL ahsante
  2. Serikali iangalie upya sifa za kugombea ubunge

    Habari za leo ndugu zangu, Uzi wangu leo utakua mfupi sana. Ni ushauri tu sifa za kugombea ubunge zibadirishwe walau mgombea awe na Shahada. Na wanaogombea udiwani walau wawe na diploma. Wanaogombea uenyekiti wa vijiji walau wawe na cheti cha form four. Ndugu zangu ni ushauri tu. Ninyi...
  3. Kwa sasa shahada si kitu tena, tutafuta namna nyingine ya kuokoa vijana

    Nimekutana na mtu ana Masters anaomba uReceptionist. Nilijisikia vby sana, I got into deep thoughts. Sawa sina mtoto lkn nilijiweka ktk position ya mzazi. Unamsomesha mwanao quality schools mpk anachukua degree na MBA nje ya Africa. Then anarudi Bongo kuwa Receptionist wa 400K. Imagine wewe ni...
  4. E

    Wale tuliochukua shahada zetu YOHANA UNIVERSITY njooni tuyajenga hapa

    Habari za Leo wakuu, Najua huku kuna wenzangu tuliopitia hiki chuo kikongwe Tanzania kiitwacho Yohana University. Hebu njooni tusemezane tujikumbusheni kidogo maisha ya campus. Prof. gani alikuzingua sana kwenye kozi work.
  5. E

    Shahada gani ni nzuri kati ya hizi wakuu (Rahisi kujiajiri na kuajiriwa)?

    Habari za leo wakuu, Kuna ndugu yangu anataka kujiunga na Masomo ya shahada (Bachelor). Ana machaguo yafuatayo na anatakiwa kuchagua moja kati ya haya. 1. Bachelor of Commerce 2. Bachelor of Computer Applications 3. Bachelor of Commerce 4. Bachelor of Business Administration Sasa wakuu kati...
  6. Fursa kwa wenye Shahada ya Uandishi wa Habari na/au Mawasiliano kwa Umma

    Fursa ya Ajira kutoka DSJ Tuma CV yako kwenda: application@uti.ac.tz Sambaza upendo huu kwa uwapendao
  7. Kwanini Serikali inawabagua walimu wenye shahada kwenye ajira?

    Kuna kitu hakipo sawa kwenye ajira za walimu. Kwenye kila kibali cha ajira kinachotoka idadi ya walimu wenye shahada wapatao fursa ya kuajiriwa serikalini huwa ni ndogo sana kulinganisha na walimu wa ngazi zingine za kielimu kama vile cheti na diploma. Kielelezo kizuri ni ajira zilizotoka juzi...
  8. Wasomi jifunzeni kwa dada Mwasu, dereva wa bajaji msomi mwenye shahada mbili

    Tofauti na mawazo ya wengi kuwa ukisoma hadi chuo kikuu lazima uajiriwe, Mwasu Mavere ameonyesha upande mwingine wa shilingi, kwamba unaweza kujiajiri na kufanikiwa zaidi. Licha ya kuwa na shahada ya uzamili kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), yeye ameamua kuwa dereva wa pikipiki ya miguu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…