shaka

Shaka kaSenzangakhona (c. July 1787 – 22 September 1828), also known as Shaka Zulu (Zulu pronunciation: [ˈʃaːɠa]) and Sigidi kaSenzangakhona, was the King of the Zulu Kingdom from 1816 to 1828. He was one of the most influential monarchs of the Zulu Kingdom, responsible for re-organizing the Zulu military into a formidable force via a series of wide-reaching and influential reforms.
King Shaka was born in the lunar month of uNtulikazi (July) in the year of 1787 near present-day Melmoth, KwaZulu-Natal Province, the son of the Zulu chief Senzangakhona. Spurned as an illegitimate son, Shaka spent his childhood in his mother's settlements, where he was initiated into an ibutho lempi (fighting unit), serving as a warrior under Dingiswayo.Shaka further refined the ibutho military system and, with the Mthethwa empire's support over the next several years, forged alliances with his smaller neighbours to counter the growing threat from Ndwandwe raids from the north. The initial Zulu maneuvers were primarily defensive, as Shaka preferred to apply pressure diplomatically, with an occasional strategic assassination. His reforms of local society built on existing structures. Although he preferred social and propagandistic political methods, he also engaged in a number of battles.He was ultimately assassinated by his half brothers Dingane and Mhlangana. Shaka's reign coincided with the start of the Mfecane/Difaqane ("Upheaval" or "Crushing"), a period of devastating warfare and chaos in southern Africa between 1815 and about 1840 that depopulated the region. His role in the Mfecane/Difaqane is highly controversial.

View More On Wikipedia.org
  1. Dar: RC Makalla apingana na kauli ya Shaka kuhusu Machinga, asema machinga wote wamepangwa vizuri

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema zoezi la kuwapanga vizuri Wamachinga katika Jiji la Dar es Salaam limeenda salama pasipo usumbufu wowote na kusema kwa sasa ameagiza maeneo walipoondoka Machinga yasafishwe na yafanyiwe ukarabati. "Maelekezo ya Rais Samia yalikuwa zoezi...
  2. Shaka, tukusikilize wewe na CCM au Serikali?

    Kauli ya Shaka kutengua amri ya mkuu wa mkoa inaonesha umuhimu wa ulazima wa katiba mpya, serikali za nchi zenye mfumo wa vyama vingi serikali ndiyo huongoza nchi na wananchi tunatakiwa tuisikilize serikali na si vinginevyo. Bahati mbaya hivi sasa CCM imejipa jeuri ya kuidharau serikali na...
  3. S

    Shaka apiga ‘stop’ agizo la kuzuia bodaboda, bajaji kuingia katikati ya Mji wa Dar

    Katibu wa Halmashauri kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Ndugu. SHAKA HAMDU SHAKA leo Oktoba 31 atazungumza na waandishi wa vyombo vya Habari kuanzia saa 6 mchana ofisi Ndogo za CCM - LUMUMBA Dar es salaam. ===== CCM yapiga ‘stop’ agizo la kuzuia bodaboda, bajaji kuingia mjini CHAMA Cha...
  4. J

    Shaka atua Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndg. Shaka Hamdu Shaka Jumanne 26 Oktoba, 2021 ametembelea Ofisi za Bodi ya Mikopo ya wanafunzi elimu ya Juu zilizopo maeneo ya Tazara Wilaya Temeke Jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo na viongozi na watendaji wa bodi hiyo. #ChamaImara #KaziIendee
  5. J

    Shaka Hamdu Shaka: Sukuma ndani! "Mkibaini mchwa yeyote popote wa fedha za miradi ya Umma"

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka wakati akisoma Azimio la kumpongeza Mwenyekiti wa CCM ambaye ni amiri Jeshi Mkuu na Rais wa JMT Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa na nzuri zilizotukuka tena zilizofanyika kwa kipindi kifupi Shaka amewataka Viongozi...
  6. U

    Shaka: Ole wake atakayefuja hata senti moja katika shilingi tirioni 1.3

    Ni zile zilizo katika mkakati wa maendeleo ambao utekelezaji utawanufaisha wananchi CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeonya yeyote atakayejaribu kufuja au kuzitumia vibaya yakiwemo matumizi binafsa sh. 1.3 zilizotokwna na mkopo wa masharti nafuu, itakula nae sahani moja. Imesema fedha hizo ni...
  7. Shaka Hamdu Shaka azungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma

    NUKUU: BAADHI YA NUKUU ZA KATIBU WA NEC ITIKADI NA UENEZI WA CCM, SHAKA HAMDU SHAKA ALIPOKUA ANAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO 12 OCTOBA 2021 DODOMA "Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea kusimamia na kuimarisha haki za binadamu, usawa, demokrasia, kupinga aina zote za ubaguzi pamoja na...
  8. S

    Shaka alisema Jumapili ya leo kuna jambo zito Rais Samia atalifanya. Ni jambo gani hilo? Au alitudanganya?

    Katibu mwenezi wa CCM Taifa ndugu Shaka A. Shaka na siku chache baadaye mwanamama Ditopile waliutangazia umma kuwa Jumapili hii tutege macho na masikio Ikulu, maana Mhe Rais atakuja na jambo zito Sana Mimi nasubiria bila kuchoka, natamani mhe Rais amalize haraka shughuli anayoifanya pale Dodoma...
  9. M

    Kwamoto huu wa CCM Ushetu CHADEMA mlikuwa sawa kusogeza magoli nyuma | Hapa Shaka kule Mizengo Pinda pale Katambi huku Ditopile ni "Utajua Hujui "

    Kwamoto huu wa CCM Jimbo la Ushetu-Kahama Chadema mlikuwa sahihi kusogeza magoli nyuma | Hapa Shaka kule Mizengo Pinda pale Katambi huku Ditopile ni "Utajua Hujui " "Hakuna kama Samia " Sitaki kuongeza neno,hebu fungua mwenyewe hiyo video ili uone mafuriko ya maelfu ya watu huko Ushetu ikiwa...
  10. Kampeni Ushetu; Baadhi ya nukuu za Katibu wa NEC itikadi na uenezi CCM, Shaka Hamdu Shaka

    NUKUU: BAADHI YA NUKUU ZA KATIBU WA NEC ITIKADI NA UENEZI CCM SHAKA HAMDU SHAKA-KAMPENI USHETU. "Wananchi ninazo taarifa juu ya vitendo viovu vya kupambikiziwa kesi za kukamatwa na bangi vijana na wanawake vinavyofanywa na baadhi ya askari wetu wasio waaminifu wanaotaka kulitoa doa jeshi letu...
  11. Shaka: TFS mkimaliza kuwavunja miguu vijana wote nguvu kazi ya Taifa itatoka wapi?

    Kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu yanayowahusu wakala wa misitu Tanzania (TFS) kupiga wananchi wetu hadi kuwavunja miguu kwa kisingizo cha kuwakamata na mkaa au kuwabambikizia kesi zisizo na msingi wowote wa kisheria,Kuanzia leo iwe mwanzo na mwisho, Serikali ya Mama Samia imejipambanua...
  12. J

    Shaka: Watanzania watege sikio tarehe 09 Oktoba Dodoma, Rais ana jambo la kuwaambia watanzania

    SHAKA: TUTEGE MASIKIO TAREHE 09 RAIS ANA JAMBO KWA WATANZANIA. Katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka amesema mpaka kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 Ilani ya Uchaguzi ya 2020/25 itakua imetekelezwa kwa zaidi ya asilimia 100 kwa namna Mwenyekiti wetu na Rais wa Tanzania Ndg...
  13. J

    SHAKA: Tuko tayari kupokea matokeo yoyote ya uchaguzi CCM

    Chama cha Mapinduzi chini uongozi wa Rais Samia kitaendelea kusimamia demokrasia ya kweli na kwa vitendo, tuko tayari kupokea matokeo yoyote ya uchaguzi katika jimbo la Ushetu Kahama, Konde Pemba na kata 3 tunazofanya uchaguzi wa marudio 10 Oktoba 2021. Shaka Hamdu Shaka Katibu wa Halmashauri...
  14. CCM yawataka Wawakilishi wake kushughulikia matatizo ya wananchi badala ya kufanya vikao vya mara kwa mara

    CCM YATAKA WAWAKILISHI WAKE KUWA KARIBU NA WANANCHI Songea, Ruvuma 19 Septemba, 2021 Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amewataka viongozi wa chama hicho kushughulikia matatizo ya wananchi badala ya kufanya vikao vya mara kwa mara kwa ajili ya kutafuta...
  15. Shaka: Tumeahidi ajira milioni 8 kwenye Ilani ya CCM, tumetoa Tshs 157.8 Bilioni kwa ajili ya ukarabati wa bandari ya Mtwara

    Nawasalimu kwa jina la JMT, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amefanya ziara ya kuhamasisha uhai wa Chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025, kupokea taarifa za mashina na kuhamasisha wananchi kushiriki zoezi la sensa ya watu na...
  16. M

    Shaka Hamdu Shaka aisifu mahakama ya Tanzania kesi ya Freeman Mbowe

    Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi CCM-Taifa Mhe Shaka Hamdu Shaka aisifu Mahakama kesi ya Freeman Mbowe, asisitiza Serikali ya Rais Samia ni ya kidemokrasia na inajali Uhuru wa Mahakama "Hakuna kama Samia" "Nimeona vibwagizo vya wenzetu huko mitandaoni kuwa wameruhusiwa kuingia mahakamani na...
  17. Shaka: Viongozi na watendaji wa Chama na Serikali shughulikeni na changamoto za Wananchi

    VIONGOZI NA WATENDAJI WA CHAMA NA SERIKALI SHUGHULIKENI NA CHANGAMOTO ZA WANANCHI Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amewaeleza viongozi na watendaji wote ndani ya chama na Serikali kushughulika na changamoto za wananchi badala ya kukaa ofisini. Shaka...
  18. Jarida la Africa Intelligence laripoti uhusiano kati ya Rais Samia na Dkt. Kikwete

    Hili jarida linamilikiwa na nani? Ofisi zao ziko nchi gani? Kilichoandikwa hapa ni ukweli au ni uongo? Nikinukuu aya yakwanza katika makala hii "After having been ignored by John Magafuli, former president Jakaya Kikwete is back in business as Samia Suluhu Hassan's confidant." Kama kweli basi...
  19. Ndugai anawaonea wivu Wanasheria kujiita ‘wasomi’? Bila shaka atawaandalia Muswada

    Kiukweli kwa kadri ya kumbukumbu zangu sijawahi kuona spika duni kama spika wa bunge la Tanzania, sasa sijui shida iko wapi, yaani anaona wivu hadi anakonda kwa Wanasheria kujiita "WANASHERIA WASOMI" kiasi cha kuanzisha mada bungeni ya kujadili jambo hili yaani! Tutarajie muswada wa kufuta huo...
  20. Shaka Hamdu Shaka akutana na jamii mpya

    SHAKA HAMDU SHAKA AKUTANA NA KUNDI LA JAMII MPYA Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka amekutana na kufanya mazungumzo na kundi la Jamii Mpya linalojishughulisha na uhamasishaji wa vijana na wanawake katika masuala ya uzalendo, uwajibikaji, ubunifu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…