Shakahola forest is an 800 acres (320 ha) forest area that is part of Chakama Ranch in Kilifi County, in eastern Kenya. Shakahola village is nearby. The nearest large town is Malindi, on Kenya's Indian Ocean coast. In 2023, a number of mass graves were found in the forest, leading to an investigation of what is now known as the Shakahola forest massacre.
Kiongozi wa dhehebu, Paul Mackenzie anayekabiliwa na mashtaka ya kuhamasisha wafuasi wake zaidi ya 400 kujinyima chakula hadi kufa amekana mashtaka ya mauaji ya bila kukusudia Agosti 12, 2024
Mackenzie alikamatwa Aprili 2023 baada ya miili 429 ikiwemo watoto kufukuliwa katika msitu wa Shakahola...
Salaam,Shalom!!
Yalitokea mauwaji Nchi Jirani ya Kenya,na waliripotiwa kufa watu wengi sana, Damu ya watu isiyo na hatia ilimwagika.
Kiongozi mmoja wapo aliyekuwa na ushirika na Pastor Mc Kenzie, anatamani sana Nchi yetu, kwake Tanzania ni shamba lenye mavuno mengi. Yalipotokea maporomoko...
Imagine hadi watu wanakufa kufikia 429 serikali haijui? Watu 429 sio wachache hii inamaanisha kuna watu wengi sana wanapotea na kufa pasipo serikali kujua.
Swali linakuja kama intelligencia iko weak hivi inawezaje ikashinda vita dhidi ya ugaidi ambao wanatumia njia za kisasa na mipango ya...
Anaitwa Boniface Victor au nabii Musa.
Huyu ambaye anapotosha umma.
Nimefuatilia Channel yake YouTube ni kama mtu aliyepagawa.
Anaongea vitu ambavyo havipo kabisa. Hawa vijana waliokosa ajira na kulowea makanisani wanaanzisha Imani za hovyo ambazo si za Kikristo lakini kwakuwa wafuasi ni...
Nimemkumbuka huyu Mchungaji aliyeweza kufundisha mafundisho yaliyopelekea wafuasi wake wa kukaribia 1000 kujiua/kuuwawa hapo Kenya mwaka jana
Hii inafafa na Mchungaji Kibwetere wa Uganda naye aliua waumi wake karibia idadi hiyo hiyo hapo Uganda
Kwa kipindi hiki nafikiri waumini wanatakiwa wawe...
Wasalaam nyote,
Tafadhari kama rejea ya kichwa Cha habari kiilivyo. Mwenye mtiririko mzima wa namna waumini mania Kwa mamia walivyokufa na kuzikwa huko Msitu wa Shakahola huko Kenya.
Haileweki ni vifo vya halaiki, na walikufa kimafingu, walikufaje, hili Pepo liitwalo Pastor Paul Mackenzie...
Polisi nchini Kenya Ijumaa wamepata miili 29 zaidi katika Msitu wa Shakahola, idadi kubwa zaidi ya kila siku tangu uchimbaji wa kaburi uanze mwezi uliopita, ikiwa ni uchunguzi dhidi ya sakata la Mchungaji Paul Mackenzie.
Awamu ya pili ya uchimbaji wa miili ilianza wiki hii, baada ya timu...
Kongozi wa Umoja wa Azimio, Raila Odinga amesema anachukua uamuzi huo dhidi ya Rais wa Kenya, William Ruto ambaye ameunda Kamati ya kuchukunguza miili 110 iliyofukuliwa katika eneo la #Shakahola lilipo katika Kanisa la Good News International Church, ambapo takribani Watu 320 wameripotiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.