ENEO/SHAMBA LINAUZWA
Mahali: Chalinze – Msolwa
Limegusa Barabara ya Morogoro.
Lipo upande wa kushoto ukiwa unaelekea Morogoro.
Kutoka Stand ya Mabasi ya Chalinze/Ofisi za Halmashauri ya Chalinze ni umbali wa km 1 tu.
Ukubwa: Eka 140
Bei: TSh 5,000,000,000/- (Bilioni 5)
Call/WhatsApp: +255...