Hekari 127 zipo Handeni Komkonga
Bei kwa heka 600,000
-Shamba limesafishwa
-Linafaa kulima mahindi, mkonge, machungwa na mazao mengine
-Lina hati ya mauziano ya serikari za mitaa na minute ya kikao cha uthibisho
- Call 0785670285 if interested
SHAMBA LINAUZWA KIBAMBA
📍 KIBAMBA SHULE – TORINO
📐 UKUBWA: HEKARI 1.6
Shamba lina sehemu yenye unyevunyevu, na linaweza kutumika kwa shughuli mbalimbali kulingana na mpango wa mwekezaji:
-Kilimo cha mboga mboga
-Ujenzi wa nyumba na makazi
-Ufugaji
-Uwekezaji wa muda mrefu
Pia unaweza...