Ofisi ya kampeni ya mgombea urais wa Marekani, Kamala Harris, huko kwenye mji wa Phoenix ilishambuliwa kwa risasi na kusababisha uharibifu kwa majengo na madirisha huku hakuna majeruhi walioripotiwa.
Tukio hilo lilitokea usiku wa manane, siku chache kabla ya ziara ya Harris jimboni humo, na...
Mungu wa mbinguni mbariki sana Tundu Antipas Lissu Ili siku moja aliongoze Taifa Hili
Tundu Antipas Lissu ni Muujiza Unaoishi
Mungu wa mbinguni awabariki sana wote mlioshiriki kuutetea Uhai wa jasiri Tundu Antipas Lissu
Zaidi soma - DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa...
Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa, Jeshi la Polisi Dodoma leo hatimaye limemuonyesha Tundu Lissu gari lake lile lililotunguliwa na risasi zisizo na idadi kwa lengo la kumuua.
Tundu Lissu akiwa mbele ya polisi , amehesabu upya matundu ya risasi alizomiminiwa na watu waliotumwa kumuua ambapo hesabu...
Hapo chini kuna video inayoonyesha makazi ya Area D.
Hususan ni hilo geti na nyumba ya walinzi ambao tunaambiwa siku ya tukio hawakuonekana.
Hakuna video yoyote nyingine inayoonyesha eneo hilo kama hii hapa chini.
Mursal Nabizada na mlinzi wake wote wameshambuliwa kwa risasi na kupoteza maisha Jijini Kabul ikiwa ni mwendelezo wa matukio ya mauaji Nchini humo hasa yakiwalenga Wanawake.
Nabizada alikuwa Mbunge Mwaka 2019 hadi wakati Utawala wa Taliban ulipokabidhiwa mamlaka Agosti 2021, Wanasiasa wengi...
Watu wanane wamejeruhiwa vibaya baada ya mtu mmoja mwenye silaha kuvamia basi moja mjini Jerusalem na kuanza kufyatua ovyo risasi.
Miongoni mwa watu walio athirika na shambulio hilo ni mwanamke mjamzito ambaye amelazimishwa kujifungua mapema chini ya uangalizi wa madaktari baada ya kuwa na hali...
Watu wanne wameuawa baada ya Mtu mmoja kufyatua risasi Hospitalini huko Tulsa, Oklahoma. Polisi imesema Mtuhumiwa naye amefariki dunia kutokana na majeraha ya risasi ambayo inaaminika alijipiga
Matukio na kushambuliwa kwa risasi yamekuwa yakiongezeka katika miezi ya hivi karibuni Nchini humo...
Inasikitisha sana matumizi ya silaha yanavotumika vibaya.
Kwa sasa huko Marekani msiba mzito kwao:
Hii ndio list:
Xavier Lopez, 10. He was a 4th grader at Robb Elementary
Uziyah Garcia, 10. He was in 4th grade.
Eva Mireles.
Nevaeh Bravo. She was in 4th grade
Irma Garcia
Amerie...
Nasema "alitaka kumuua" kwa sababu ukiangalia yale matundu ya risasi upande wake wa gari utajua kuwa hawa watu hawakutaka kumtishia tu. Walidhamiria kumuua.
Niungane na Watanzania wenzangu kumuombea Tundu Lissu dua/sala ili apone kikamilifu, Amin.
Nimejiuliza maswali mengi kuhusu shambulio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.