shambulio la risasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Shambulio la risasi laitikisa Ofisi ya Kampeni ya Kamala Harris huko Arizona. Polisi watoa tamko!

    Ofisi ya kampeni ya mgombea urais wa Marekani, Kamala Harris, huko kwenye mji wa Phoenix ilishambuliwa kwa risasi na kusababisha uharibifu kwa majengo na madirisha huku hakuna majeruhi walioripotiwa. Tukio hilo lilitokea usiku wa manane, siku chache kabla ya ziara ya Harris jimboni humo, na...
  2. J

    Leo ni miaka 6 tangu Tundu Antipas Lissu ashambuliwe kwa risasi na Watu wasiojulikana

    Mungu wa mbinguni mbariki sana Tundu Antipas Lissu Ili siku moja aliongoze Taifa Hili Tundu Antipas Lissu ni Muujiza Unaoishi Mungu wa mbinguni awabariki sana wote mlioshiriki kuutetea Uhai wa jasiri Tundu Antipas Lissu Zaidi soma - DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa...
  3. Tundu Lissu aoneshwa gari lake lililomiminiwa risasi, ahesabu matundu ya risasi ashangaa aliponaje

    Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa, Jeshi la Polisi Dodoma leo hatimaye limemuonyesha Tundu Lissu gari lake lile lililotunguliwa na risasi zisizo na idadi kwa lengo la kumuua. Tundu Lissu akiwa mbele ya polisi , amehesabu upya matundu ya risasi alizomiminiwa na watu waliotumwa kumuua ambapo hesabu...
  4. J

    Hapa ndipo Area D, Dodoma. Na hili ndilo geti lililoachwa wazi na walinzi kutokomea siku Lissu aliposhambuliwa

    Hapo chini kuna video inayoonyesha makazi ya Area D. Hususan ni hilo geti na nyumba ya walinzi ambao tunaambiwa siku ya tukio hawakuonekana. Hakuna video yoyote nyingine inayoonyesha eneo hilo kama hii hapa chini.
  5. Afghanistan: Mbunge wa zamani auawa kwa shambulio la risasi nyumbani kwake

    Mursal Nabizada na mlinzi wake wote wameshambuliwa kwa risasi na kupoteza maisha Jijini Kabul ikiwa ni mwendelezo wa matukio ya mauaji Nchini humo hasa yakiwalenga Wanawake. Nabizada alikuwa Mbunge Mwaka 2019 hadi wakati Utawala wa Taliban ulipokabidhiwa mamlaka Agosti 2021, Wanasiasa wengi...
  6. Jerusalem: Shambulio la risasi kwenye basi lajeruhi watu 8

    Watu wanane wamejeruhiwa vibaya baada ya mtu mmoja mwenye silaha kuvamia basi moja mjini Jerusalem na kuanza kufyatua ovyo risasi. Miongoni mwa watu walio athirika na shambulio hilo ni mwanamke mjamzito ambaye amelazimishwa kujifungua mapema chini ya uangalizi wa madaktari baada ya kuwa na hali...
  7. Marekani: Wanne wauawa katika shambulio la risasi

    Watu wanne wameuawa baada ya Mtu mmoja kufyatua risasi Hospitalini huko Tulsa, Oklahoma. Polisi imesema Mtuhumiwa naye amefariki dunia kutokana na majeraha ya risasi ambayo inaaminika alijipiga Matukio na kushambuliwa kwa risasi yamekuwa yakiongezeka katika miezi ya hivi karibuni Nchini humo...
  8. Orodha ya waliofariki kwenye shambulio la risasi shuleni huko Texas

    Inasikitisha sana matumizi ya silaha yanavotumika vibaya. Kwa sasa huko Marekani msiba mzito kwao: Hii ndio list: Xavier Lopez, 10. He was a 4th grader at Robb Elementary Uziyah Garcia, 10. He was in 4th grade. Eva Mireles. Nevaeh Bravo. She was in 4th grade Irma Garcia Amerie...
  9. K

    Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

    Nasema "alitaka kumuua" kwa sababu ukiangalia yale matundu ya risasi upande wake wa gari utajua kuwa hawa watu hawakutaka kumtishia tu. Walidhamiria kumuua. Niungane na Watanzania wenzangu kumuombea Tundu Lissu dua/sala ili apone kikamilifu, Amin. Nimejiuliza maswali mengi kuhusu shambulio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…