shambulizi la israel

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Netanyau asema shambulizi la Israel dhidi ya Iran lilisambaratisha viwanda vya kutengeneza kifo! Iran kamwe haitomiliki silaha za nyuklia

    Wadau hamjamboni nyote? Hotuba nzito mbele ya bunge la Israel Waziri Mkuu Benjamin Netanyau Iran kamwe haitoruhusiwa kumiliki silaha za nyuklia Israel itaendelea kusaini mikataba ya amani na nchi za kiarabu Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Netanyahu says Israel’s strikes on Iran...
  2. ITR

    Baada ya shambulizi la Israel dhidi ya Iran kufeli, wafuasi wake hawaamini na wamebabaika

    Baada ya shambulizi la Israel dhidi ya Iran kuzuiliwa na mifumo ya anga ya Iran inaoneka wafuasi wa taifa teule wa humu JF hawaamini ndo maana kila dakika wanaanzisha nyuzi za kujifariji. Mara mifumo ya ulinzi ya Iran imeharibiwa ,mara viwanda vya makombora vimeharibiwa, mara warazimishe...
  3. britanicca

    Shambulizi la Israel kwa Iran ni shambulio lililofanywa kwa nidhamu ya hali ya juu sana”it was a clear demonstration of capability, intent and will.”

    kwa kile tunachosema on the Israeli air raids into Iran day before yesterday. This was more than a precision strike, it was a clear demonstration of capability, intent and will. Hii ilikuwa zaidi ya historia ilofanyika kwa usahihi, ilikuwa onyesho wazi la uwezo, nia na mapenzi ya nchi yao...
  4. 6 Pack

    Linasubiriwa tukio lolote litokee nchini Iran ili liunganishwe na shambulizi la Israel

    Niaje waungwana, Waungwana najua wengi humu mnashauku kubwa sana ya kutaka kujua ni kwanini Israel mpaka leo tar 10/10 haijaishambulia Iran, licha ya kusema na kuapa kuwa itaishambulia na kuiangamiza Iran from day one ya shambulizi lile la pili la Iran nchini Israel ambalo lililenga shabaha...
  5. MK254

    Wanajeshi 19 wa Iran waliuawa na wengine 150 kujeruhiwa kwenye shambulizi la Israel la kutumia elektroniki

    Hawa ni wanajeshi wa Iran waliokua wanatoa misaada kwa magaidi wa waislamu, yaani Myahudi ni balaa nyingine.... Haya kama kawa njooni na povu zenu wazee wafia ile dini japo waoga wa kyeboard warriors...mnapigwa kote, mpaka sasa pale Gaza idadi ya mizoga yenu inasoma zaidi ya 40,000 Mlilianzisha...
  6. Ritz

    Marekani, Ufaransa, Uingereza, Ujerumani na Italia zilitoa taarifa ya pamoja kuiangukia Iran irudi nyuma washambulie Israel

    Wanaukumbi, Sisi viongozi wa Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani na Italia tulijadili hali ya Mashariki ya Kati. Tulielezea uungaji mkono wetu kamili kwa juhudi zinazoendelea za kupunguza mvutano na kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano na kuwaachilia mateka huko Gaza. Tuliidhinisha...
Back
Top Bottom