Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Viti vitatu Bara Ndg. Shamira Mshangama katika ziara yake ya Mkoani Dodoma ametembelea na kukagua ujenzi wa nyumba ya Katibu na kuchangia tofali 500 na mifuko 10 ya simenti kwa Mwanyemba kwenye ujenzi wa nyumba hio ya katibu wa UVCCM mkoa wa Dodoma ambayo iko katika...
Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Taifa Viti Vitatu Tanzania Bara Ndg. Shamira Mshangama akiwa kwenye muendelezo wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa Jumuiya ya Vijana CCM na kuhamasisha ushiriki wa vijana kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025.
Shamira Mshangama katika ziara yake ya Mkoani Simiyu...
Shamira Mshangama akiwaombea kura wagombea kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa wanaotokana na CCM katika mtaa wa Mbeza, kata ya Manundu Wilayani Korogwe Mji katika mkoa wa Tanga.
Wakuu,
Baada ya JK kusema siku chache zilizopita kuwa ukitaka nchi itulie wewe kamata wazee, inaonekana vijana wa UVCCM wameanza kupita mule mule
Shamira Mshangama ambaye ni mwanafamilia wa WCB Wasafi na mke wa Kim Kayndo hivi karibuni alitembelea kituo cha kulea wazee na wasiojiweza akiwa...
SHAMIRA AKABIDHI SIMU 9 NA KADI 1000 ZA UVCCM TANGA.
Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) viti vitatu Bara Shamira Mshangama amekabidhi Simu Tisa, pamoja na kadi za Uanachama wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) 1000, Kwa Mwenyekiti wa Jumuiya...