BARAKA SHAMTE...
Lugha ya Kiingereza inakuwa kila siku kwa kuja na maneno ambayo mimi sikupata kuyajua hapa zamani.
Siku hizi kuna neno ''trend.'' ambalo nadhani lina maana, ''lililopo sasa.''
Habari inayo-''trend,'' mitandanoni hivi sasa ni Baraka Shamte.
Baraka Shamte haitaji kuelezwa si...