shangazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Vijana wanajisahau sana, huyu dogo atarudi kwao na shangazi kaja pekee

    Huyu dogo kutoka West Africa amelost big time.Kijana hizo ng'ombe fuso mbili bora angepelekea vituo vya watoto yatima wakala ubweche kuliko kulipia mahari SINGO MAZA with two kids from two different men who ate that punani without giving even a single cent😣😣😣😣 Huyu dogo mpira ukianza kumtupa...
  2. Manfried

    Ukitaka kukosana na Mama yako na shangazi zako jaribu kuoa single mother utajua haujui.

    Wamama na shangazi ukitaka wakutamkie kila Aina ya laana jaribu kuoa au kuwa na mahusiano na Single-Mother.
  3. sergio 5

    Wadada mnaotamba na amapiano tunawakumbusha mtapita tu shangazi zenu walikuwa busy na viduku

    Ukienda club mdada anajua kucheza piano anaringa kama mwenye degree ya MD Ukimuongelesha mashangazi nawakumbusha Kuna walikuwa wanaringa na style za VIDUKU
  4. mdukuzi

    Ngolo Kante hatarini kufirisika,ameoa shangazi wa kizungu mwenye miaka 47

    Waafrica wote akili zetu zinafanana, Ustaadhi Ngolo Kante amevamia mtumbwi wa vibwengo kwa kuoa lishangaji Jude Littler lenye watoto watatu na umri wa miaka 47. Historia ya shangazi huyo huko nyuma sio nzuri Djibril Cisse aliwahi kuwa nae huko nyuma aliambulia kupigwana kitu kizito. Pesa zote...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Sikujua kama huyu shangazi meno matatu ya mbele NI bandia. Kumbe Nipo na kibogoyo

    Huniambii kitu hata! Mimi siingilii Uhuru wa maonî ya Watu walah! Kûna waliniita Mario, Kûna waliniita Serengeti boy, Kûna waliniita kibenteni. Basi kama mjuavyo Siku hizi Vijana Hawana Kazi, na kama nimetoa Ajira Kwa Watu kunitungia Majina na huenda Kwa Mwezi wanapewa Pesa za kujikimu Maisha...
  6. G

    Jinsi kanisa lilivyovunja ndoa ya binamu yangu na kumfuja mali za talaka, wanawake wanaoabudu manabii wa mchongo wamechotwa akili huwaambii kitu

    Ni kisa cha miaka 10 iliyopita lakini mhusika anapitia kipindi kigumu mpaka sasa Ilifikia kipindi anashinda sana kanisani mpaka anaacha watoto nyumbani, hapiki analipa kanisa kipaumbele, kuchukua pesa za savings kwajili ya zaka na sadaka za kitapeli, anaweza kesha kanisani, n.k. Mume wake...
  7. U

    Uzi maalumu wa kutaja majibu ya kukatisha tamaa, ya hovyo au kuchefua ulowahi kuyapata kutoka kwa shangazi zako

    Wadau hamjamboni nyote? Je umewahi pata majibu ya hovyo na kukatisha tamaa kutoka kwa shangazi yako/zako? Ulichukua hatua gani? Karibu utupe uzoefu Tahadhari usitaje jina Wala sehemu anayeishi shangaziyo
  8. Alubati

    Shangazi nangai

  9. L

    Nimetukanwa matusi ya nguoni na mtoto wa shangazi yangu

    Kwema wandugu Kuishi na watu kazi sana, kuishi na ndugu kazi sana Huyu kijana wa shangazi yangu ni mhuni, mlevi, mvivu, si muwajibikaji na hana, nidhamu. Namgharamia kwa vingi, kuanzia kumlisha, mavazi, malazi na kadhalika Kazi nimemtafutia mimi, nilitumia jina langu apate kazi ingawa hakuwa...
  10. Etugrul Bey

    Hadithi ya Shangazi yake Nancy kwenye daladala ya Tabata

    Ndani ya daladala ya segerea kuelekea tabata kimanga,hali ya hewa ni mvua siku ya jana ya jumamosi. Nimekaa siti ya kulia dirishani kabisa huku naperuzi mtandao pendwa kabisa jamii forums, baada ya abiria wa awali niliyekaa nae kushuka mara pap anakaa bimkubwa mmoja pembeni yangu. Kama...
  11. SAYVILLE

    Kujiweka karibu na wanasiasa kumeiharibu sana Yanga

    Kitendo cha kufikia hatua ya kutoa tuhuma nzito kwa kutumia kipengele cha "Upangaji Matokeo" kuhusiana na mechi ya Mamelodi Sundowns vs Yanga kunanikumbusha siasa zetu za vyama vingi na jinsi migogoro inavyotokeaga. Kwa haraka nakumbuka migogoro ya kina Mrema ndani ya NCCR, Zito Kabwe ndani ya...
  12. sonofobia

    Shangazi Fatma Karume akemea Udini wa CHADEMA

    "Nataka kuwaeleza foot soldiers wa CHADEMA kitu muhimu sana. CHADEMA haiwezi kushinda Urais wa Tanzania bila ya Kura za WAISLAMU na WAKRISTO. Huu mchezo wenu wa UDINI ni double edged sword. Utawakata CCM kwa Wakristo but rest assured utawakata CDM tena SANA Kwa Waislamu. Endeleeni tu!" ====...
  13. Mwizukulu mgikuru

    Kwanini kushindwa kuowa kwa binamu yangu ilikuwa ni faraja kwa mama yake mzazi (shangazi)

    Habari zenu wakuu, kuna jambo lilikuwa likiniacha njia panda sana, Kuna binamu yangu umri wake kwa sasa ni 33 to 34 hajaowa mpaka sasa na amekuwa akipambana kujiweka sawa kiuchumi na huku akitafuta mwenza wa maisha yake. Baba yake mzazi amekuwa akimshauri mwanae umri umekwenda na muda...
  14. Equation x

    Huyu shangazi amenichanganya akili, inabidi nizae naye

    Tangu nizaliwe hapa duniani ni wanawake wawili tu ndio wameweza kuniridhisha kwenye tendo la ndoa, pamoja na umri wangu huu wa miaka sabini. Mi huwa ni mdhaifu sana kwa walimbwende wenye sura ya kuvutia pamoja na chura ya kutosha; tofauti na hapo hisia huwa zinatafutwa kwa rimoti. Wiki mbili...
  15. M

    Nimeacha kazi U.A.E ya ubaharia niliyotafutiwa na shangazi

    Wakuu hope salama, polenii na majukumu ya kulijenga taifa na familia kwa ujumla. Dhumuni la kuandika huu uzi ni namna now navyojiskia, ilikuwa mwaka 2018 baada ya kumaliza chuo nikiwa kitaa sina mchongo nikapata taarifa kuwa kuna kampuni ipo Abu Dhabi inahitaji wafanyakazi wa kwenye meli yani...
  16. Justine Marack

    Natafuta wimbo au teaser ya kipindi cha watoto zamani huko RTD. Wimbo unaimba Chei Chei shangazi

    NATAFUTA wimbo au teaser ya kipindi Cha watoto zamani huko RTD. Wimbo unaimba Chei Chei shangazi. Tufirahi shangazi tufirahi shangazi
  17. S

    Tetesi: Mbunge Shangazi ana ubia na Kampuni ya DP World

    MBUNGE, Rashid Shangazi anatajwa kuwa ndiye Dalali wa Kampuni ya DP World inayotaka kuuziwa bandari zote Tanzania isipokuwa za Zanzibar tu, Shangazi alianza kuipigia debe na baadaye kuwaleta nchini na kukamilisha hiyo dili ambalo limezua mgogoro mkubwa Tanzania. Ushahidi wa ni SWALI NA 58 LA...
  18. tpaul

    Musiba amemponyoka Membe lakini Shangazi na mama wa hela ya mboga wamemng’ang’ania; hana pa kuchomokea, anadaiwa jumla ya Tsh bilioni 15.58!

    Subiri kwanza, bado mapema. Cyprian Musiba Majura Muingereza popote alipo anaweza akawa anachekelea kuwa Membe kafariki, hivyo amenusurika kulipa mabilioni aliyokuwa anadaiwa. Anajidanganya sana. Hii ni sawa na kuchekelea kuruka majivu halafu ukatua motoni. Hii ngoma bado mbichi sana! Hukumu ya...
  19. Street brain

    Nilimuacha Kwa tabia Mbaya, Sasa Ataka Kurudi

    VIPI Shangazi? Nimeachana na mpenzi wangu baada yake kubadilisha ghafla mienendo yake. Tulipoanza uhusiano wetu, mpenzi wangu alikuwa mwanamke mwenye heshima sana kwangu, lakini wakati fulani alibadilika akaanza kunionyesha madharau na ikabidi nimuache. Sasa anataka turudiane lakini mimi...
  20. kavulata

    Fatma Karume (shangazi) anapotosha wadau wa mpira

    Huyu mama ni mwanasheria nguli kabisa nchini anaeheshimika lakini kwenye hili la Faisal anakaribia kuipoteza heshima yake. Anadai kuwa Faisal sio mtumwa hivyo hawezi kulazimishwa kufanya kazi Yanga. Kauli hii imewachefua wengi sana. Faisal ni mzanzibar, alifikaje Yanga? Je Yanga Kuna soko la...
Back
Top Bottom