Fatma naona ana vita binafsi na Comrade Mwingulu, kweli swala la tozo angekuwa yeyote hata yeye Shangazi angefanya kama anavyofanya Comrade Mwingulu. Ndiyo kiapo chake kinavyotaka kupokea maelekezo ya mamlaka za juu yake mfano bunge na kutekeleza, kama hutaki maelekezo andika barua ya kujiuzulu...