Huyu ni mchekesha wa comedi kipindi kinachorushwa na Star TV saa tatu na nusu usiku siku ya alhamisi kipindi kinachoitwa "futuhi" mtangazaji anaeitwa sharobaro wa kihaya ameanza kujichubua.
Mwanzoni nilidhani ni weupe wake au ni scrub labda inamfanya hivyo lakini jana kwenye kipindi hicho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.