Ni mwanamke wangu tuliependana sana tukiwa chuo. She was extremely beautiful. Ila alikuwa anajisikia sana. She got a very big ego. Alinizingua sana tukiwa chuo nikaachana nae tukaja kukutana miaka mitano baada ya Mimi kumaliza chuo yeye alitangulia kwa mwaka mmoja tukaanza upya tena this time...