sheikh

Sheikh ( SHAYKH, SHEEKH; Arabic: شيخ‎ šayḫ [ʃajx], mostly pronounced [ʃeːx], plural شيوخ šuyūḫ [ʃuju:x])—also transliterated sheekh (Iraq), sheik, sheyikh, shaykh, shayk, sheikh, shekh, shaik and shaikh—is an honorific title in the Arabic language. It commonly designates a chief of a tribe or a royal family member. It is also commonly used to refer to a Muslim religious scholar. The term can be literally translated to "Elder".

View More On Wikipedia.org
  1. Mohamed Said

    Sheikh Kaluta Amri Abeid

    https://youtu.be/L0Vax2uGgJU?si=ew8vonaaY7SbmoMg
  2. hamis77

    Sheikh adai anafturisha Majini

    Sheikh Sharif Firdaus ,muuza maji na mafuta ,mtoto aliyekuzwa na Mazinge anasema amekuwa akifturisha Hadi majini https://www.facebook.com/share/v/1H2A3tCEky/
  3. Mhaya

    Sheikh Dr. Sulle atumia maji kuponya waumini wa kiislamu

  4. Saint Ivuga

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Simba SC is a Tanzanian football club based in Dar es Salaam. Their home games are played at two stadiums Uhuru Stadium and National Stadium. Simba SC is one of two biggest football clubs in Tanzania, their archrivals being the Young Africans. The club had several names during its history, when...
  5. Chifu mkuu

    Tanzania haina mufti!Tanzania haina sheikh mkuu

    TANZANIA HAINA MUFTI ! TANZANIA HANA SHEKH MKUU! Kwa muda mrefu tumekuwa tukisikia kiongozi mkuu wa taasisi ya kidini iitwayo Baraza kuu la waislamu wa Tanzania bara akitajwa kama mufti na sheikh mkuu wa Tanzania na mtazamo huu ni makosa makubwa sana na uamebeba maudhui ya upotoshaji kwa...
  6. Chifu mkuu

    Tanzania haina Mufti, Tanzania haina sheikh mkuu!

    TANZANIA HAINA MUFTI ! TANZANIA HANA SHEKH MKUU! Kwa muda mrefu tumekuwa tukisikia kiongozi mkuu wa taasisi ya kidini iitwayo Baraza kuu la waislamu wa Tanzania bara akitajwa kama mufti na sheikh mkuu wa Tanzania na mtazamo huu ni makosa makubwa sana na uamebeba maudhui ya upotoshaji kwa...
  7. Carlos The Jackal

    CHADEMA ya LISSU, Fanyeni mnavyoweza, Kuutangazia na Kuusambazia Umma Habari za Utabiri wa SHEIKH YAHYA kuhusu UPINZAN KUCHUKUA NCHI !!

    Mtakuja Kunishukuru sana !!. Kama Kuna video ambayo Sheikh Yahya anatabiri kuanzia Ujio wa Hayati Dkt JPM, Kisha Rais Dkt Samia, na kwamba Baadae Upinzani unachukua Nchi. Tumieni Kila kitu mlichonacho kuhakikisha Huo unakua Wimbo Mtaani kuanzia Mijini mpaka Vijijin. Kwa wanaoona Mbali kama...
  8. GENTAMYCINE

    Kwanini wengine Wakifa Rais Samia hawapi Mamilioni ya Shilingi kama alivyofanya kwa huyu Sheikh Muhammad Idi?

    Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zuber amekabidhi kiasi cha Tsh Milioni 20 za rambirambi kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwenda katika familia ya marehemu Sheikh Muhammad Idd. Mufti Abubakar Zuber amekabidhi Milioni 20 kwa Mwakilishi wa familia...
  9. Poppy Hatonn

    Utabiri wa Sheikh Yahya

    Sheikh Yahya alisema! "Baada ya vipindi viwili vya Rais Jakaya Kikwete atakuja Rais ambaye ni mweusi mchapakazi lakini mchekeshaji. Hata hivyo,ataongoza kwa kipindi kifupi tu hapo ndipo Tanzania itapata Rais mwanamke. Na baada ya hapo Upinzani utachukua nchi." Sheikh Yahya alifariki 2021
  10. Mohamed Said

    Chuo Kikuu Cha Zanzibar: Uzinduzi wa Kitabu Cha Sheikh Hassan bin Ameir (1880 - 1979)

    https://youtu.be/lfKyNUQzdM0?si=n1ln1wI6YY84RaJK
  11. MSAGA SUMU

    Sheikh Swed: Hata mtoto muislam atakayezaliwa leo tayari ni BAKWATA.

    Mwanazuoni wa kiislam Sheikh Swed Twaibu akiwa TBC akielezea katiba ya BAKWATA jinsi ilivyoshirikisha waislamu wote wa Tanzania alisisitiza kuwa waislamu wote nchini ni wana BAKWATA. Pia alienda mbali zaidi na kusema kwa Tanzania hii hamna taasisi nyingine inayoruhusiwa au yenye mamlaka ya...
  12. Mohamed Said

    Historia ya Mufti wa Tanganyika Sheikh Hassan Bin Ameir Sehemu ya Nne na ya Mwisho

    https://youtu.be/7hdr_NWa6mk?si=iZwFvEiOtXV3lK35
  13. Mohamed Said

    Historia ya Mufti wa Tanganyika Sheikh Hassan Bin Ameir Sehemu ya Tatu

    https://youtu.be/iCuOj7ppe5E?si=QeKMvxp0WqOpAzUi
  14. Mohamed Said

    Historia ya Mufti wa Tanganyika Sheikh Hassan Bin Ameir Sehemu ya Pili

    https://youtu.be/CeBBijxdjwg?si=3wUQnU1BEJOgcM_N
  15. Mohamed Said

    Historia ya Sheikh Hassan bin Ameir Mufti wa Tanganyika

    https://youtu.be/ZY0ozVzGzXo?si=7u9N3U8Ky8qlgefs
  16. Pfizer

    Sheikh Suleima Mohammed Ulatule (99), amezikwa katika makaburi ya Nyang’andu kivule jijini Dar

    Shura ya Maimamu Tanzania MAZISHI YA SHEIKH MWENYE UMRI MKUBWA ALIYEFIA GEREZANI Sheikh Suleima Mohammed Ulatule (99), amezikwa jana tarehe 20/12/2024, saa 11:00, jioni katika makaburi ya Nyang’andu kivule frema kumi jijini Dar es Salaam. Sheikh Ulatule alikua gerezani kwa miaka 9...
  17. Lupweko

    Sheikh: Uchawi umeletwa na Allah, ukiutumia vizuri sio dhambi

    https://www.youtube.com/watch?v=3_umentdZoo
  18. Mohamed Said

    Historia ya Sheikh Mohamed Ramiyya wa Bagamoyo

    https://youtu.be/v4f9Y3QKpak?si=ZVDx2ZELIucxRASJ
  19. FaizaFoxy

    Peter Mollel (Pierre Liquid) amesilimu sasa anaitwa Salum Sheikh Kishk

    Pierre Liquid ni mtu aliyejizolea umaarufu miaka miwili mitatu ya nyuma kwa mambo makuu matatu, kwa mtazamo wangu. La kwanza ni ulevi wake, la pili ni vichekesho vyake na la tatu ni mapenzi yake kwa watu. Nitayafafanuwa zaidi post zifatazo, kwanza tushuhudie alivyosilimu:
  20. Chizi Maarifa

    Video : Sheikh Sule Majin wanafundishwa Uislamu Msikitini

    Admins. Naona mnaondoa hizi Videos ambazo zinazungumza kwa ushahidi na wala si kashfa wala matuzi. Leo admin uliyepo ni yupi ambaye hutaki ukweli? Hakuna matusi wala kashfa.
Back
Top Bottom