SHEIKH DOGA AMEFARIKI DUNIA
Kutoka ukurasa wa Sheikh Ibrahim Ghulaam
إنا لله وإنا إليه راجعون
INNAA LILLAHI WAINNAA ILAYHI RAAJIUUN
Mmoja wa Masheikh Maarufu na bobezi mno katika fani ya Shariah Sheikh Muharram Juma Doga amefariki usiku wa kuamkia leo Jumanne na kuzikwa wakati wa Adhuhuri...