Shekhe Issa alipokuwa akihojiwa na Jambo Tv ameeleza kuwa mwaka 2013 risasi aliyopigwa ilipita nyuma ya beaga na kutokea mbele. Anaeleza hata askari wengine walioshuhudia tukio hilo walishangaa kwanini askari mwenzao alifanya hivyo.
Kichwa cha Habari ni maneno ya Busara Kutoka Kwa Kiongozi mkubwa wa Dini ya Islam Shehe Ponda
Shehe Ponda anasema Chadema inaelekea Hatarini Tukihubiri Demokrasia basi Tuitekeleze na tukidai Katiba Mpya turekebishe za kwetu na Kwenye Ukomo tuwe mfano
Ukurasani kwake X ni kauli ambayo...
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam nchini Tanzania, Sheikh Issa Ponda, pamoja na viongozi wengine 11 wa Kiislam, wamefungua kesi ya kikatiba katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam wakipinga mamlaka ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) juu ya maamuzi yanayohusu masuala ya dini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.