MAONI YA SHEIK KIPOZEO
Naona watanzania, Taifa taratibu taratibu linaanza kujivua ile heshima lililoivaa siku zote.
Tumejitia upofu wa kuikimbia hoja na UKWELI, tukajikita katika kudadavua nani kaleta hoja hiyo.
Niko kwenye Magroup & vikundi vya kijamii kadhaa vyenye Waislamu & Wakristo na...