USO KWA MACHO NA BINGWA WA KUTAFSIRI QUR'AN SHEIKH MSELEM BIN ALI
Leo katika uzinduzi wa kitabu cha Sheikh Ponda Issa Ponda, ''Juhudi na Changamoto,'' Peacock Hotel nilibahatika kukutana na Sheikh Mselem bin Ali mwisho wa shughuli.
Miaka 10 imepita toka tuonane Zanzibar na sikuweza kumuona kwa...
Sheikh Mselem Ali, mmoja kati ya Masheikh wa Uamsho ambao wametoka Gerezani amesema mihadhara yao ilikuwa na nia ya kuwaamsha watu kudai Katiba Mpya.
Amesema kwa kipindi kile walifanya hivyo kwa kuwa kulikuwa na fursa ya maoni kuhusu Katiba Mpya. Walifanya hayo kwa mujibu wa sheria kwa kuwa...
Sheikh Mselem: Usalama wa Nchi ni jambo linalopewa kipaumbele na sisi tunapenda usalama, furaha ikizidi inaweza ikazalisha kitu halafu mara nyingi kutokana na uzoefu kuna vitu watu wa kati huchomeka.
Inawezekana tumefanya jambo halali, tumeliombea ruhusa serikalini, tukapewa ruhusa lakini kuna...
SHEIKH MSELEM BIN ALI ALITUNUKIWA NISHANI NA WAISLAM AKIWA KIFUNGONI 2014
Katika mkutano wa mwaka uliofanyika Pongwe, Tanga mwaka wa 2014, Jukwaa la Vijana wa Kiislam Tanzania walimtunuku Shekh Mselem bin Ali Nishani Maalum kwa mchango wake katika kuisomesha Qur'an Tukufu.
Kwa kuwa Sheikh...
Sheikh Farid: Tunamshukuru Mwenyezi Mungu, kiufupi tunashukuru sisi tumeachiwa lakini huu ni mwanzo mwema ya busara ya marais wetu, Rais wa Zanzibar na Rais wa Tanzania, Amiri Jeshi mkuu, mama Samia Suluhu. Wamefanya busara kubwa sana kuondoa hii hali ya mtanziko ya muda mrefu sana wa hii Kesi...
Bismillahir Rahmaanir Rahiim
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
SHEIKH MSELEM SHEIKH FARID WAKO NYUMBANI ZANZIBAR
Masheikh zetu wawili wako majumbani kwao na familia. Tutaendelea kukupeni taarifa awamu kwa awamu.
Lengo ni kutoa taarifa za kweli na zilizozingatia mambo yote muhimu.
Aidha viongozi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.