MWINYIMBEGU DIBIBI- MZALENDO WA KIAFRIKA ALIYESAHAULIKA
Ahmed Dibibi
Si wengi wenye kulifahamu jina hili na wengine yawezekana ikawa mara ya mwanzo kulisikia.
Mwinyimbegu Dibibi kwa watu wa makamo na wazee si jina geni masikioni mwao, wenyeji wa Miji ya Upwa wa Tanganyika ya Kale na Unguja...