Habari wanajamvi poleni kwa majukumu.
Huyu sheikh anachanganya dini na siasa au anaongelea uhalisia wa hali ilivyo nchini Tanganyika?
Uislamu akubaliani na mauwaji kwa silaha yoyote hile kwa sababu zozote zile kwa kisingizio chochote kile, atakaye toa roho ya mtu mmoja itakula kwake siku ya...