Tanzania, nchi iliyobarikiwa na utajiri wa maliasili, ikiwemo gesi asilia ambayo kwa ujumla wake ni futi trilioni 57.25 za ujazo wa gesi .
Tanzania imepiga hatua kubwa katika sekta ya nishati kwa kuanzisha Mradi wa Tanzania Liquefied Natural Gas (LNG). Mradi huu una lengo la kuchakata gesi...