shemeji yangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 6 Pack

    Shemeji yangu naona amevuka mstari mwekundu. Nifanye kweli kutunza heshima ya homie au nimuache ajiendee tu

    Habari zenu wanaJF wenzangu Nina rafiki yangu ambae tumekuwa nae, tumesoma nae na kucheza nae toka utotoni. Homie huyu tumekuwa tukishirikiana kwa mambo mengi ya kimaisha, mpaka kupelekea baadhi ya watu wasiotufahamu kuhisi kuwa sisi ni ndugu wa baba mmoja na mama mmoja. Miaka miwili...
  2. J

    Nilimfumania shemeji yangu, Nikachukua uamuzi huu na kikatokea hiki, wewe ulifanyaje?

    Hiyo issue ilitokea 5 years ago kwa kaka yangu, baba na mama mmoja. Baada ya kumaliza chuo nikapata kikazi cha kujishikisha katika hospital karibu na anaposhi broo wangu, kaka yangu alijua kabisa kuwa ninafanya kazi karibu na nyumbani kwake. Sio mbali ni kama 400 meters hivi. Kaka yangu anamke...
  3. mdukuzi

    Shemeji yangu ni mchafu sana. Jana nilimtembelea akanialika chakula nikatapika mbele ya familia

    Huyu mke wa mshikaji wangu anashika rekodi ya uchafu. Nilishindwa kuwatembelea Jumapili ya Pasaka nikasema niende jana Jumatatu ya Pasaka. Wana mtoto mchanga na wanafuga bata, wakati wa naandalizi ya msosi kwa macho yangu niliona akimtawaza mtoto bila kunawa mikono, mara akajikuna sehemu za...
  4. The Mafia

    Shemeji yangu na house girl walivyoua wanangu na mume wangu

    Wanangu hawakuwa boarding school. Baba yao mdogo na dada wa kazi ndio waliowafundisha ku SEX. Tuwaombeeni sana watoto wetu, Najuta kuwatoa muhanga watoto wangu kwa ajili ya kazi yangu. Niliolewa nikiwa na miaka 24. Mimi na mume wangu wote tulikuwa madaktari. Wote tulizingatia sana kazi na...
  5. R

    Shemeji yangu amekataa! Abadani, Mwanangu hapimwi DNA ikibidi ndoa ivunjike tu

    Wakuu tumefika mwisho. Tumekuwa watabe kushauri kwenye mahusiano ya wengine huku mtandaoni lakini huku field Mke wa Brother(rafiki yangu wa longtime) ametushinda. Ni hivi Mwaka Jana Mke wa Huyu Best Yangu alijifungua mtoto wa kiume. Tulifurahi kupata mtoto wapili na sisi kama ndugu na jamaa wa...
  6. On Duty

    Shemeji yangu wa kike anakula sana mkaa

    Poleni na mihangaiko ndugu zanguni. Hivi ni nini kinapelekea mtu kupenda kutafuna mkaa? Na ni nini cha kufanya ili kuacha kutafuna mkaa? Kuna huyu shemeji yangu wa kike yaani mdogo wake na mamaaenu(mke wangu) anatafuna mkaa kuliko kawaida. Hii kitu ameianza muda tangu hana Mtoto hadi sasa ana...
  7. DR SANTOS

    Napata hisia za kumnyandua shemeji yangu

    Najua kwamba kuna karma na ubaya lazima utarudi ila siyo kesi. Huyu mke wa rafiki yangu ni wale wanaosemaga Shem darling, tumekua karibu kwa miaka sasa na ni marafiki na mama watoto. Maana tulikutana kwenye ishu za chuo ambapo tulipanga nyumba Moja, hivyo mademu zetu wakawa marafiki mpaka Leo...
  8. Komeo Lachuma

    Dada kupatana na mume wake mahusiano na shemeji yangu yanaanza kuyumba, amesahau tulikotoka

    Waswahili walisema "Ndugu wakigombana chukua jembe ukalime" nadhani hapa pia walikuwa wanamaanisha hao wagomvi wanaweza hata kutumia jembe kukatana wakati wa ugomvi. Kwahiyo ni bora wewe ukalime. Wagombane tu na vitu asilia. Shida sasa sisi tunaoishi mjini. Unatafuta jembe ndani hupati. Hata...
  9. Mwamuzi wa Tanzania

    Nilimtongoza mara mbili akanikataa kwakuwa ni shemeji yangu lakini haachi kuniomba pesa

    Haka kabinti nilikatongoza mara mbili, kalikataa kabisa kwakuwa mimi ni shemeji yake. Sasa naona tabia yake ile ya kuniomba nimnunue hiki mara nimtolee pesa ya mchezo, mara ya kula naona bado hajaiacha. Vipi nimchane live kuwa akiwa na shida amwombe dada yake kisha dada yake ndiye afikishe...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    Nimeamua kumpeleka Shemeji yangu Mahakamani!

    NIMEAMUA KUMPELEKA SHEMEJI YANGU MAHAKAMANI Anaandika, Robert Heriel. Haki lazima ikatendeke! Mbwembwe zangu zote lakini naishi Kwa Shemeji. Kuna wakati nakaa nawaza Kama nisingekuwa na Dada ingekuwaje, maana ndugu zangu wote wa kiume Hali zetu dhoofu ilhali Kama Yukreini. maisha yametupiga...
  11. EL ELYON

    Shemeji yangu anaona wivu mimi kuwa karibu na mumewe

    Wakuu mmebarikiwa Sana na Mwenyezi Mungu mliofunga Mungu Awakumbuke Sana..... Nipo mkoa Fulani kikazi mbali kabisa na familia yangu. Huku kwa bahati nzuri kuna ndugu yangu kabisa ni askari. Nilipofika nilifikia kwake kama siku tatu hivi nikawa nimehamia kwenye nyumba niliyokuwa nimeandaliwa na...
  12. DeepPond

    Shemeji yangu ananilaumu sana kwenda kwake na Mchepuko Wangu

    Shemeji yang nnaemzungumzia ndie yule niliwai mzungumzia siku moja humu jf kwenye Huu Uzi.[emoji116] https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/41201873 Ni kwamba wiki mbili zilizopita alikuja kupata msiba wa mama ake mzazi uko mkoani. Sasa juzi nikiwa kwa Mchepuko Wangu mama J Akanambia...
  13. Midazolam

    Naombeni wenye kujua haya mambo, naona kama nina kitu Cha kipekee

    Wajuzi wa mambo haya, Naomba nirudi nyuma kidogo,nilikuwa mdogo bado nina kumbukumbu yapata miaka 29 nyuma. Nilikuwa na uwezo wa kuona vitu au kitu kibaya,au kujua ni lini tutapata wageni na nilikuwa nikimwambia mama, Mamangu ni mwana maombi sana na maombi yake juu yetu ni kama umetufunika na...
  14. mbenda said

    Natamani kumuuliza mume wa mchepuko wangu alitumia mbinu gani kufanya mke wake atulie ili nami mke wangu atulie

    Habari wa JF natumai ni wazima wa afya tele.poleni wagonjwa . Miaka fulani nilikuwa naishi ktk mji fulani, sasa siku moja nilikwenda kumtembelea rafiki yangu ambae alikuwa anamiliki duka la kuuza simu. Nilipofika pale wakati tuaendelea na mazungumzo akaja mdada fulani hivi yule mdada alikuwa...
  15. EL ELYON

    Wanawake, kwanini huwa mnapambana kumtawala mwanaume kisha kumtenganisha na ndugu zake na rafiki zake?

    Nipo mkoa Fulani kanda ya ziwa kikazi nilihamishiwa huku kwa bahati nzuri huku nilimkuta ndugu yangu mmoja tunaelewana Sana maana tumekua wote enzi hizo. Sa kwa vile mi bado mgeni kidogo na ni wale introvert najikuta nipo bored Sana na huu mji mida ya jioni huwa napenda kumcheck ndugu yangu na...
  16. EINSTEIN112

    Mume wangu, siwezi kushindana na mabinti wadogo wa mjini

    Alikuwa akisoma article fulani kwenye mtandao huku amekaa kwenye kiti kilichopo chumbani mwao.. "Darling...." Akamuita mumewe.. "Yes.." Mume akaitika... "Unanipenda?" Akamuuliza mumewe ambae alikua busy akifunga tai tayari kwa kuivaa shingoni. "Of course nakupenda my love. Nakupenda sana...
  17. DeepPond

    Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?

    Nakumbuka mwaka Jana February niliwai leta kisa humu Cha kumchapa makofi mchepuko wangu. https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/38182399 Ebana eeh, Yule mchepuko mwezi machi katikati tulikuja rudiana bhana, Mazingira ya kurudiana ilkua baada ya mwezi hivi wa ukimya baina yetu Udhaifu wangu...
  18. Barieda

    Leo imeniuma sana baada ya kujikuta usiku wa leo natembea na shemeji yangu

    Wakuu heri ya mwaka mpya, naamini mmeanza mwaka mpya kwa utulivu kabisa, maake najua stress za karo tushaachana nazo tangu 2021 Dec. Leo imeniuma sana baada ya kujikuta usiku wa leo natembea na shemeji yangu ( demu wa rafiki yangu) bila kudhamilia, ilikuwa hivi shemeji alinipigia simu jana kuwa...
  19. JF Member

    Kuna Jamaa anamla Shemeji yangu

    Kuna jamaa mmoja anamla Shemeji yangu. Nimeshamshuhudia mara Mbili. Afu jamaa ni mtu wa karibu na bro Ile mbaya. Kwa tetesi ni kwamba, huu ni mwaka wa nne sasa tangu wagundulike. Nashindwa kumwambia bro maana sijui atalichukuliaje. Nimfanyeje ili waache nami niwe na furaha? Maana najisikia...
  20. Dumuzii

    Mke arejesha heshima kwa Kasi ya 5G

    Ni kisa Cha ukweli kilicho mkuta jamaa yangu. Yalikua ni malalamiko tu kila siku akisema mkewe hana heshima yaani hamuheshimu kabisa. Pamoja na kuto kuwa na heshima alikua na kauli chafu Sana yule mwanamke kumuambia jamaa kuwa alimuonea huruma tu akamuoa ni neno la kawaida Sana na hili neno...
Back
Top Bottom