Najua kwamba kuna karma na ubaya lazima utarudi ila siyo kesi.
Huyu mke wa rafiki yangu ni wale wanaosemaga Shem darling, tumekua karibu kwa miaka sasa na ni marafiki na mama watoto.
Maana tulikutana kwenye ishu za chuo ambapo tulipanga nyumba Moja, hivyo mademu zetu wakawa marafiki mpaka Leo...