Habari za leo wana JF, natumaini mko mzima wa afya. Okay, naomba nishare na nyie hiki kitu kwa wanawake na wanaume pia.
Hii story nimeisikia jana kwa mtu lakini imenisikitisha na kunihuzunisha sana, sidhani kama kuna mtu atakua kakutana nayo mahali, anyways niko 50/50 na hii story #chai si chai...