Kiufupi ninamshkaji wangu, kiukweli jamaa ana mwanamke wake lakini jamaa hajatulia kabisa, hamuachii mwanamke wake pesa ya matumizi na pesa anayo, nnje anahonga sana, shemeji juzi ananiambia eti Rafiki yangu amefikia hatua anamuachia 20,000 kwa siku, kiukwel nilimuonea huruma sana shemeji yangu...