shemsa mohamed

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu Shemsa Mohamed ashiriki harambee kanisa la KKKT na kuchangia milioni 33.2

    MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SIMIYU NDG. SHEMSA MOHAMED ASHIRIKI HARAMBEE KANISA LA KKKT NA KUCHANGIA MILIONI 33.2 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed, ameungana na waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika harambee ya kuchangia...
  2. Shemsa Mohamed Ashiriki Harambee Kanisa la KKKT na Kuchangia Milioni 33.2

    MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SIMIYU NDG. SHEMSA MOHAMED ASHIRIKI HARAMBEE KANISA LA KKKT NA KUCHANGIA MILIONI 33.2 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed, ameungana na waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika harambee ya kuchangia...
  3. LGE2024 Shemsa Mohamed: Chagueni CCM tusonge mbele

    ♻️ CHAGUENI CCM TUSONGE MBELE KWA MAENDELEO - SHEMSA MOHAMED. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapindizi (CCM) Mkoa wa Simiyu Ndg. Shemsa Mohamed Seif ameendelea na ziara yake ya Siku Saba za Moto na tarehe 25 Novemba, 2024 alipiga kambi katika Jimbo la Kisesa kupiga kampeni za kuhamasisha wananchi...
  4. LGE2024 Mwenyekiti wa CCM Simiyu, Shemsa Mohamed asisitiza wajibu wa kila Mwanachama kwenye ushindi wa CCM

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shemsa Mohamed, ameendelea na kampeni yake ya kutafuta kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, akizungumza na wananchi na vijana wa UVCCM katika Wilaya ya Bariadi. Katika kampeni hiyo, alisisitiza umuhimu wa vijana kushiriki kikamilifu katika...
  5. Shemsa Mohamed: Chagueni CCM kwa Maendeleo, Amani na Ustawi wa Tanzania

    SHEMSA MOHAMMED: CHAGUENI CCM KWA MAENDELEO, AMANI NA USTAWI WA TANZANIA Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shamsa Mohammed ameendelea na Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 katika Wilaya ya Busega na kuwasihi wananchi wapenda maendeleo kuwaunga mkono...
  6. Shemsa Mohamed Ashiriki Ziara ya Kikazi ya Jumaa Aweso Aliyofanya Mkoa wa Simiyu

    SHEMSA MOHAMED ASHIRIKI ZIARA YA KIKAZI YA MHE JUMA AWESO ALIYOFANYA MKOA WA SIMIYU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shamsa Mohammed, ameshiriki ziara ya kikazi ya Mhe. Jumaa Hamidu Aweso, Waziri wa Maji, katika Mkoa wa Simiyu. Lengo la ziara hii lilikuwa kukagua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…