MTAMBUE SHEMSA MOHAMED M/KITI CCM MKOA WA SIMIYU KATIKA MEZA YA VIONGOZI MASHUHURI WA KISIASA DUNIANI
Ameandika Comrade Msauzii (0769086992)
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed Seif amekuwa kiongozi bora katika kukijenga chama cha Mapinduzi. Juhudi zake zinafananishwa na...
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu Ndg Shamsa Mohammed ameongoza Kikao Cha Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Simiyu na kujadili Mambo Makuu yafuatayo:
1. Utekelezaji wa Sera za CCM: Halmashauri Kuu ilijadili jinsi ya kuhakikisha sera za Chama Cha Mapinduzi (CCM) zinatekelezwa kikamilifu kwenye...
SHEMSA MOHAMMED AMBAYE NI MLEZI WA TAMADUNI NA WAGANGA WA TIBA ASILIA NA MLEZI SUNGUSUNGU KANDA YA ZIWA WAGAWA ZAWADI KIASI CHA PESA MILION NANE ( 8,000,000/=) MBINA YA THELATHINI
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndugu SHEMSA MOHAMMED ambaye ni Mlezi wa Utamaduni na Waganga wa Tiba asili Mkoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.