shemsa mohammed

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtambue Shemsa Mohammed (M/K CCM Mkoa wa Simiyu) Katika Meza ya Viongozi Mashuhuri wa Kisiasa

    MTAMBUE SHEMSA MOHAMED M/KITI CCM MKOA WA SIMIYU KATIKA MEZA YA VIONGOZI MASHUHURI WA KISIASA DUNIANI Ameandika Comrade Msauzii (0769086992) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed Seif amekuwa kiongozi bora katika kukijenga chama cha Mapinduzi. Juhudi zake zinafananishwa na...
  2. Shemsa Mohammed Aongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Simiyu

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu Ndg Shamsa Mohammed ameongoza Kikao Cha Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Simiyu na kujadili Mambo Makuu yafuatayo: 1. Utekelezaji wa Sera za CCM: Halmashauri Kuu ilijadili jinsi ya kuhakikisha sera za Chama Cha Mapinduzi (CCM) zinatekelezwa kikamilifu kwenye...
  3. Pre GE2025 Shemsa Mohammed atoa Tsh. Milioni 8 kwenye ngoma ya asili ya Kisukuma

    SHEMSA MOHAMMED AMBAYE NI MLEZI WA TAMADUNI NA WAGANGA WA TIBA ASILIA NA MLEZI SUNGUSUNGU KANDA YA ZIWA WAGAWA ZAWADI KIASI CHA PESA MILION NANE ( 8,000,000/=) MBINA YA THELATHINI Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndugu SHEMSA MOHAMMED ambaye ni Mlezi wa Utamaduni na Waganga wa Tiba asili Mkoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…