sherehe ya kuhitimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Mchango wa sherehe ya kumaliza Masters itakayofanyika ukumbini. Nini maoni yako kuhusu uchangishaji wa sherehe za namna hii?

    Jamani kuna jamaa kahitimu masters anataka kusherehekea kwa kuwakaribisha ndugu na jamaa. Hivyo nimeombwa kumchangia katika Sherehe yake hiyo ya kumaliza masters itakayofanyika Ukumbini. Viwango : Single Tsh. 30,000/= Double Tsh.50,000/= Nini maoni yako kuhusu uchangishaji wa sherehe za namna hii.
Back
Top Bottom