Hii nchi unaweza kudhani watu wamesoma basi wana akili timamu, lakini la hasha!
Kitendo cha hawa watu wa sheria kupiga muziki mkubwa kiasi cha kuondoa utulivu kwa jinsi muziki ulivyo mzito, kinaashiria aina ya watu waliojaa ukanda huu wa Afrika ni wa aina gani.
Hapo inapigwa miziki ya siku...
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Nipashe.
Wiki mbili zilizopita kwenye safu hii niliandika mada ya kumpongeza Spika wa Bunge, Dr. Tulia, kwa kazi nzuri aliyoifanya kwenye Mabunge ya Dunia, IPU kwa kuwakoromea maspika wenzake wa nchi za mabeberu, kuziburuza nchi za Afrika...
Bunge ni chombo muhimu kwa maslahi ya pana ya Taifa hususani katika kuweka sheria na utaratibu wa kanuni/sheria za nchi,maadili ya viongozi na usimamizi wa chama/serikali tunapofanya mzaha katika kutathmini/kuweka vigezo vya mtu kugombea nafasi za ubunge tutambue kuwa tunawasaliti na kuwaumiza...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la leo.
Naomba kuanza kwa msisitizo wasomaji wa andiko hili, waione alama ya kuuliza, (?) kwasababu mimi mwenzenu, niliwahi kuitwa Bungeni kwa kutuhumiwa kuwa nimetoa statement kuwa "Bunge Linajipendekeza kwa serikali", kufika Dodoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.