Wanabodi,
Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Nipashe.
Wiki mbili zilizopita kwenye safu hii niliandika mada ya kumpongeza Spika wa Bunge, Dr. Tulia, kwa kazi nzuri aliyoifanya kwenye Mabunge ya Dunia, IPU kwa kuwakoromea maspika wenzake wa nchi za mabeberu, kuziburuza nchi za Afrika...