Wakili wa kujitegemea Jebra Kambole amesema kuwa, hakuna kosa kisheria kwa mtu pale anapoamua kupiga picha akiwa na fedha zake.
Wakili Kambole amesema hayo Julai 10, 2024 alipokuwa akihojiwa na kituo cha redio cha ambapo amesisitiza kuwa, endapo mtu akikamatwa kwa kosa hilo ana uhalali na uwezo...