sheria makosa mtandao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Pre GE2025 Wakili Madeleka: Dkt. Wilbrod Slaa ataendelea kusota Magereza hadi Januari 30, 2025, kwa sababu; "Kuna ugeni wa Marais"

    Pia soma: ~ Wakili Peter Madeleka amtumia Ujumbe Tundu Lissu kuhusu kesi ya Dkt. Slaa ~ Mwendelezo wa kesi ya Dkt. Slaa Mahakama Kuu, leo Januari 24, 2025, Wakili Madeleka ataka Mahakama ifute kesi ~ Wakili Madeleka: Kisutu kuna danadana za kumyima haki ya dhamana Dkt. Slaa tumeenda Mahakama Kuu...
  2. S

    Enyi TCRA, siyo kosa kwa Nape kutukana mitandaoni?

    Hii ni post ya ya mhe Nape ya 23 May 2024 akimrushia tusi mwananchi. Waziri Nape anamdhalilisha sana mhe rais kwa tabia yake ya kutukana watu mitandaoni. Yeye kama waziri wa Habari na Mawasiliano alipaswa kuwa mfano mwema wa matumizi mazuri na salama ya mitandao. Lkn Nape mara nyingi amekuwa...
  3. Informer

    Sheria ya Makosa ya Mtandao 2015: Kwa mkakati huu wa Serikali, Watumiaji wa Mitandao tutapona?

    JamiiForums: ILANI YETU Tunasimama imara kudai mtandao huru na wazi. Tunaunga mkono michakato wazi na shirikishi ya kutengeneza sera ya mtandao na uanzishaji wa kanuni tano za msingi: Kauli: Kutodhibiti mtandao. Upatikanaji: Kuza upatikanaji wa mitandao ya kasi na nafuu duniani kote...
Back
Top Bottom