Wanabodi hi ni Makala ya Nipashe ya Jumapili ya tarehe, 29 January 2023
Kwa Maslahi ya Taifa, bado inajikita kwenye Katiba yetu,
Makala ya leo ni kuhusu hiki kinachoendelea Bungeni kwa Kamati ya Bunge ya Sheria na Katiba kupokea maoni ya sheria mpya ya uchaguzi, Mwenyekiti wa Kamati hiyo...